Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Maisha nje ya kazi (quality of life).
Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara.
Utulivu na usalama wa mazingira.
Upatikanaji wa huduma za...
Habari wakubwa
Napenda niulize swali sio kwa ubaya tu na nipewe majibu mazuri na sababu za kumtaja huyo mtu.
Je kwa sasa ni nani ndani ya CCM ambaye watu wanampenda na kumwamini na akisimama kwenye jukwaa anaweza kuwajaza watu wakakaa na wakamsikiliza ?
Isiwe huyu mtu amewalipa au...
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:
Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan
Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni.
Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki.
Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
Ciao,
Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili.
Utawajua kwa hizi komenti 👇
"Jiandae urudi shule"
"Kwan shule zimefungwa?"
"Hama apo kwa shemeji yako 😁"
"Unahitaji kumeza dawa zako"
"Tafuta hela"
"Njoo pm"
"Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa.
sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
Jana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!
Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana!
Ushauri tafadhali..!
Habari za muda huu wakuu
Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
Kiuhalisia hakuna uthibitisho wa kisayansi au wa kifizikia kwamba leo ni Jumatatu, kwani jina hili si sheria ya asili kama vile mzunguko wa dunia, bali ni makubaliano tu ya kijamii yaliyoundwa na wanadamu ili kufuatilia muda.
Sisi huamini kuwa leo ni Jumatatu kwa sababu jamii nzima inakubali...
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?
Huu si wendawazimu?
Alaf unasema umeishi?
Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike...
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk
Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
Habari wana jamvi
Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu.
Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana?
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka
Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili sawa na makanisa au taasisi za kidini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.