gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
  2. Lagertha

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhama Dsm, nishauri niende Mkoa gani?

    Salaam wanajamvi, Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani? Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo, Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120, Ni salamu ya kabila gani unayopenda zaidi? sio lazima kabila lako!!
  4. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  7. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Majirani zako ni watu wa namna gani?

    Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri. Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu. Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri. Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
  10. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  11. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

    Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.? ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
  15. Chivundu

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

    Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani ambayo Marekani imewahi kuwapelekea na kuwalazimisha ushoga?

    Kuna wapuuzi wanadhani hatuna akili kama wao. Tunapolalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala mbovu usiofuata misingi ya sheria, ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia, wanatuambia Marekani na "wazungu" wakishirikiana na baadhi ya watu waliopo...
  18. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kipindi unajitafuta, michongo gani ulikua unapiga ili kujikimu kimaisha?

    Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni -Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto ) -uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

    It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata! Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu! Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me? TK kawaweza halafu...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
Back
Top Bottom