gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  2. JamiiForums Tanzania Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Wajumbe mpoo.... Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!! Twende kwenye mada; 1. 2007 Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four niliajiriwa kama karani ofisi fulani Dar. Wakati huo nikiwa mdogo (18Yrs) nilikutana na wakubwaa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

    Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. By Daniel...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani juu ya mbegu za kiume kitalamu

    Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  7. JamiiForums Tanzania Hii mboga gani jamani?

    anaeijua aniambie😅😅😅 mapishi yake yakoje 😋😋
  8. JamiiForums Tanzania Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Wakuu, Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane ni washiriki gani ambao unavutiwa nao na ambao huvutiwi nao katika uchekeshaji wao. Mimi naanza na...
  9. JamiiForums Tanzania Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
  10. JamiiForums Tanzania Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

    Hii ndio nchi yetu ambayo inajali wananchi na kuwasogezea huduma. Hili ni jengo la Tanesco lenye thamani ya milioni 408. -- Mchanganuo wa gharama zilizotumika kujenga ofisi ya TANESCO Wilaya ya Kyerwa, Kagera ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuifungua (TZS): 1. Chumba cha walinzi...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalam wa madini

    Wataalam wa madini hili ni jiwe gani
  12. JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumuacha ila nikiwa na hamu awe ananipa?

    Habari zenu mabaharia, Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa, she is🔥🔥🔥🔥🔥 Nataka kumpiga chini coz nikiendelea kua nae ntajifunga, huko mbele sitoweza kumkimbia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

    Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  15. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini wanaoishi humo ndani unaweza kukuta ni baba, mama, na mtoto mmoja; kwa upande mwingine, unakuta nyumba ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwalipa wastaafu kila mwezi imetekelezwa kwa kiasi gani, Msemaji wa Serikali ashindwa kujibu

    Mhe shimiwa Rais alisimama mwezi baada ya kuapishwa na kuahidi kuwa Serikali yake itaanza kuwalipa wastaafu wa PSSF kila mwezi ili kupunguza uwingi wa wastaafu hao na hii ndio dhamira yake, leo Msemaji wa Serikali akitoa taarifa na ufafanuzi kuhusu maswala mbali mbali Msigwa kaja na mpya anasema...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

    Ninasikitika sana kunona umeingia chaka kua na msemaji wa serikali ambaye ima kwa makusudi mazima anapotosha umma au hajui anachokifanya. Gazeti la Rais mwema kuandika eti "HAMZA WA CCM" wananchi walishindwa kuthibitisha? Huyu Hamza si alijenga ofisi cha Chama huko Chunya? Mnataka uthibitisho...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani inaongoza kuwa na Moto mingi, ubishi mkubwa

    Nchii hii Kuna mikoa imejaaliwa maji na ukijani wa kufa mtu, mikoa inayopatikana katika nyanda za juu Mara nyingi unakuwa na vyanzo vingi vya maji yaani Mito, kwa leo labda tuangalie mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya nyanda za juu kaskazini. Naomba kuuliza mikoa ipi Ina Mito na vyanzo...
  19. JamiiForums Tanzania NMB Mkononi ina shida gani..?

    Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction niliyokuwa nafanya awali nilikuwa na pata SMS. Hii inakuwaje wataalam maana napenda sana hii issue...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Je mbinu gani zitumike kutengeneza ajira kwa vijana wetu

    Ni jambo lililo wazi kuwa jamii yetu inakabiliwa na tatizo kubwa sana la ajira. Takwimu zisizo rasmi zinasema kila vijana 2 kati ya 3 wanaohitimu elimu za juu wanakosa ajira katika mambo wanayoyasomea na kurudi mtaani kufanya shughuli zinazofanywa na watu wasiosoma. bila kujiingiza kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…