gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

    Hello watanzania wenzangu! Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%. Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick. So last weekend wife...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

    Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nikitumia sitakiwi kutumia kileo

    Nawasalimu wanajamvi kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la pombe tena pombe kali (Najua wanaigiza) Tukija kwenye uhalisia Nyie wataalamu mliotumia muda wenu...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ni meseji gani unayotumiwa kwenye simu ila hupendi?

    Habari wakuu, Binafsi kila nikipokea muamala, muda si mrefu unaingia ujumbe wa mtandao husika wa kunitaka nicheze kamari. utaona ghafla '' Ndugu mwenye namba 0713 xxxxxx, ushaandaliwa TZS 800,000,000 jaribu leo. Na jumbe nyingi mfano wa hizi. Je, ni ujumbe gani hauupendi kabisa utumiwe kwenye...
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  8. R

    JamiiForums Tanzania "Timorous" Judges vs Bold Spirit Judges: Majaji wetu wanaangukia kundi gani?

    Miaka ya nyuma taifa hili lilishuhudia majaji ambao walijitoa mhanga kutoa haki kadri ya sheria. Walitoa haki bila upendeleo, chuki wala kuogopa mamlaka zilizowazunguka. Walijulikana kama Bold spirits Judges. Si wengi ingawa si hawa peke yao: Justice James Mwalusanya, Justice Mwesiumo, Justice...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Siasa gani hizi! Hofu yote ya nini hii?

    Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa...
  10. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Kuna ujumbe gani kwenye utopia drama series?

    Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa) Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni" Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo; na pia "goyim". Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia, inayoitwa "Utopia...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani che pesa nahitajika kuwa nazo ili niweze kufungua Pharmacy hapa Dar?

    Nakusalimuni wakuu. Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam. Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
  12. Halim1997

    JamiiForums Tanzania Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

    Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
  14. adden

    JamiiForums Tanzania Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na roho zetu. Tai kwenye mzoga. Zubaa uzikwe. Ongezea na zako zingine
  15. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Inapotokea umemzidi umri mama mkwe unampa salamu gani

    Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

    wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
  19. Rapherl

    JamiiForums Tanzania Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ==== Police General Orders (PGO) ni nini? Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
  20. wakwatito

    JamiiForums Tanzania Madhara Gani mjamzito huyapata akitoka na mwanaume ambaye sie aliyemtia mimba

    mambo vepe huenda hiii mada isha zungumza au bado ingawa nimejaribu kufatilia humu sijafanikiwa kama nilivyo anza pale kwenye title ni madhara gani mwanamke mjamzito anaya pata endapo kama ata date na mwanaume si mwenye ujauzito ule Ahsante
Back
Top Bottom