gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

    1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni. 3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
  2. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  4. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Hii nukuu ya Dalai Lama ina maana gani?

    “The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.” — Dalai Lama XIV
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania South Sudan kuna fursa gani?

    Hii nchi inafursa gani ambazo mtanzania anaweza kuchangamkia?
  6. zink

    JamiiForums Tanzania Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Wadau habarin Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa ni za nani na zilikuwa ni kiasi gani?

    Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu. Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  9. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

    Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
  10. baiser

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  12. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania App gani nitapata radio ya Wasafi Fm?

    Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  14. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

    Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  16. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
  17. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Maswali gani yanayoulizwa mara kwa mara kwa kada ya uhasibu kwenye interview?

    Habari zenu wakubwa? Najua humu kuna experts wa kila fani.so binafsi nilikua naomba kusaidiwa kupewa orodha ya maswali ya interview kwa wahasibu yanayoulizwa mara kwa mara na panelists both in private and public sectors ili mimi na wenzangu tuweze kujifunza jambo. Asanteni
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bei gani kupaka rangi upya huko Dar es Salaam

    Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
  20. KENZY

    JamiiForums Tanzania Profile picture yako ina maana gani?

    Nimegundua kitu watu huwasilisha ujumbe kwa kupitia profile picture zao,na moja kwa moja aidha ujumbe husika mara nyingi huwa unamhusu mtu husika. Kinaweza kuwa kitu unachokipenda au ambacho kinahusu maisha yako ktk namna fulani, karibuni hapa tuelezee kwa uchache tu kwanini unatumia hiyo...
Back
Top Bottom