Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.
Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao kwa uendeshaji mzuri wa nchi. Ni kwa kiasi gani dhana hii inafanya kazi hapa kwetu?
Je, kiuhalisia/in...
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu.
Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
Siku hiyo kulikuwa na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliyekuwa akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili...
Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta.
Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha.
Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani.
Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la...
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo...
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19
Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema
Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe ameamua kuikana kauli yake baada ya mashinikizo kadhaa kutoka kwa watu na viongozi mbali mbali...
JF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)
Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner.
Gari zote ni angalau kuanzia 2011.
Naomba maoni yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.