gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Halotel wana shida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia?

    Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw ukisuasua nini shida maana imekuw kero sasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya matapeli wa mtandaoni na kampuni ya TTCL?

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti. Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Uraibu gani unaonekana kuwa hauna madhara lakini unaweza kukuangamiza

    Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata amani na furaha ya moyo Ni kitu gani ambacho lazima ukifanye hata iweje na unakipenda bila kujali...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  7. JamiiForums Tanzania Ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?

    Wakuu Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
  8. JamiiForums Tanzania Unaitazama world cup ukiwa nchi gani? Current location

    😁
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

    Habari zenu wana JF Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu. Nawasilisha kwenu wadau
  11. JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida ?
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya "Kupiga soga" na "Kusinzia mezani": Ni mbinu gani unaitumia sasa hivi kukabiliana na usingizi wa mchana ofisini/kazini?

    Habari za mchana huu wa kazi wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Sote tunajua lile bishano kubwa la ndani ya moyo linalotokea kila ifikapo saa saba hadi saa tisa mchana—pale mwili unapotamani kulala lakini majukumu yanakuambia "amka!" Hebu tuchangamke kidogo hapa kwa upendo na ucheshi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  14. JamiiForums Tanzania KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wadada wanaotumwa mitandaoni wakiwa utupu wana wazazi kweli! Malezi gani haya

    Huwa najiuliza huu mrundikano wa picha chafu mitandaoni hawa watu wana wazazi kweli? Kama wapo malezi gani ya namna hii au ndio sons of bitch wamejaa mtaani Binafsi sina dada wala ndugu alieko huko picha zote ni ngeni kwangu, je wewe una ndugu unaemjua au jamaa au rafiki picha zake zinatumwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    😁
  18. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika viumbe kama nyoka na mijusi wakitaka kujitibia na ukiweza kugundua si rahisi kukuacha salama

    sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…