gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo sahihi. Ni Jambo gani nyie Wabongo mnaliweza?

    Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa? Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama chakavu lakini kichwani she a head of our time na tukiwatoa Mama zetu Mwanamke aliyebaki na akili ni huyu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vioo vipya vya magari napata duka gani?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia ya kuokota pesa za sarafu ina maana gani?

    Habari. Kuna hii ndoto ambayo karibu Kila wiki lazima niiote. Ninakuwa naokota pesa za sarafu mpaka za mataifa mengine na zinakuwa nyingi kiasi kwamba naweza kutembea hata kilomita Moja na Kila mahali naokota hizi pesa. Nimeanza kuiota kitambo sana. Usiku wa kuamkia Leo pia nimeiota Sasa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  5. Nguruka

    JamiiForums Tanzania Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

    Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi. Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
  6. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida gani PAYPAL

    Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi. Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

    Habari JF, Hivi Watanzania tunashindwa kuendesha kitu ambacho hakituhitaji tuweke mtaji tutengeneze au tuuze vitu kisha tufanye hesabu ya faida tuliyopata, tutaweza kufanya kipi? Unahitaji nguvu, tunayo ya kutosha. Unahitaji Vifaa na mitambo/mashine, uwezo wa kununua tunao. Unahitaji uweke...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Zitto unatuambia Mkataba unaenda Bunge gani?

    Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba. Anashindwa pia kutuambia kwanini Bungeni liende azimio na madhara ya kuazimia yanawezaje kubadili signature...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, Miaka 100 ni muda mrefu kiasi gani?

    Habari JF, Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani. 1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100? 2. Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa...
  10. kufanakupona

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

    Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ?? 😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
  12. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huu udongo wenye chuma (magnetic) una matumizi gani?

    Habari wakuu. Kuna huu udongo ambao ukipitisha sumaku unanasa. Je una matumizi yoyote viwandani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Kinga za Makosa ya kijinai zina Faida gani Kwa Taifa?

    Moja ya vitu vinavyonishangaza katika nchi yangu mama Tanzania, ni ubunifu walionao viongozi wa serikali katika Kuhakikisha yale yanayo wahusu yanafanikiwa, au yanafanyika kadili wao wanavyopenda tena kupitia chombo muhimu kama bunge. Sijawasikia wakipeleka muswada wa kufanyia marekebisho...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wazee huyu ni nyoka aina gani?

    Eti huyu nyoka anaitwaje?
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  19. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Habari zenu wakuu?? Natumaini mpo salama kabisa. Okay mimi siyo muanzisha mada humu mara kwa mara ila mara nyingi nimekuwa napenda sana kusoma tu mada, story hata visa mbalimbali viinavyolweta na baadhi ya wadau wenzetu na kama itatokea nikaguswa sanaa basi mara moja moja huwa natupia comment...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
Back
Top Bottom