gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani?

    Mtaji wa milioni 3 naweza kuanzisha biashara gani kwa mji wa Dodoma. Naombeni mawazo yenu wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo bank gani?

    Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora zaidi kwa maana ya unafuu wa masharti, udogo wa riba na uharaka wa kupata mkopo wenyewe. Natanguliza...
  3. JamiiForums Tanzania Maloto: Mizimu gani itakuibukia kwenye kitanda cha mauti?

    MIZIMU GANI ITAKUIBUKIA KWENYE KITANDA CHA MAUTI? SIJAWAHI kuchoka kuitazama hotuba ya gwiji, Denzel Washington, katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Pennsylvania mwaka 2011 - Penns Commencement Speech 2011. Jina la hotuba ni “Fall Forward” – “Anguka Mbele". Maisha ni mwendo. Pambana na ujaribu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Naomba kujua maana ya majibu hayo kwenye hiyo attachment.Yaani ukimwi upo au haupo??!
  5. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  6. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia unapoanza kujihusisha na ufugaji?

    Wasalaam ndugu zangu,naamini mu wazima wa afya. Leo nataka nilale nikiwa najua ni hatua gani kama mfugaji mdogo anatakiwa kuzijua pale tu anapokuwa na wazo la kuanza ufugaji Kwa mara ya kwanza. Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu Ili niwe Bora zaidi ya hapa nilipo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chupa ya chai na vikombe vya chai juu ya makaburi ni uchawi wa aina gani?

    Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  10. JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  11. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kubadili tahasusi(combination) kwa mwanafunzi aliyepangiwa kombi asiyoitaka?

    Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa. Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
  12. JamiiForums Tanzania EWURA wanatekeleza miradi gani ya maendeleo hapa nchini

    EWURA- Energy and Water Utilities Regulatory Authority na kwa kiswahili ni Mamlaka ya uthibiti ya Nishati na Maji kila malipo ya huduma hizo kutoka kwa watumiaji wote inakusanya 1% kama tozo. Hizi ni fedha nyingi sana na hasa ukizingatia uwingi wa watumiaji wa umeme, gesi na maji. Aidha EWURA...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  14. JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi Mgonjwa anayedaiwa kuvunja Maadili MOI amechukuliwa hatua gani kwa kuingilia Faragha ya mtu?

    Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
  15. JamiiForums Tanzania 4G router ya kampuni gani ya simu inafaa kwa Smart TV

    Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu. Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja nayo huku wilayani nikitegemea nitaweza kutumia intanet ya TTCL kupitia simu za waya kama vile...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
  17. JamiiForums Tanzania Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ili maji ya kunywa yawe bora, yanatakiwa kuwa na viwango gani vya madini?

    Naomba kuuliza ni kiwango gani cha madini kinachotakiwa kuwekwa kwenye maji ya kunywa? MFANO: Hill>> Chloride 16 Magnesium 1.8 Nitrate 0.43 Potassium 0.1 PH 7.0 TDS 40 Uhai>> Chloride 9.4 Magnesium 1.5 Sulphate 2.3 Potassium 2.6 pH 7.3 TDS 40 Calcium 4.0 Fluoride 0.2 Sodium 14.5 Afya>> TDS 40...
  19. JamiiForums Tanzania Ni jina Gani la utani la mchezaji lililokuvutia msimu huu?

    1. Diarra screen protector 2.djuma shaban soda ya bemba 3.lomalisa wazir wa water 4.job big brain 5.mwamnyeto super captain 6. Bangala mzee wa kaz chafu 7.moloko Ak47 8.aucho doctor wa ⚽️ 9.fiston mayele predator 10.aziz ki mwamba wa wagadugu 11.morrison toto tundu 12. Kibwana carterpiller...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tuambiwe ndege yetu iliyoachiwa kutoka Netherlands imeachiwa kwa makubaliano gani au kwa mabilioni mangapi.

    Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa na wawekezaji wa Netherlands kwa miezi zaidi ya sita imeachiwa. Je ni kwa makubaliano gani au tumelipa kiasi gani? Ni haki ya wananchi kujua mambo haya na serikali isione fahari kutuambia tu kirahisi ndege imeachiwa. Ni wakati wa ndege zetu kuleta faida na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…