Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Habari wakuu, ni katika hali ya kunishangaza leo nimepokea kadi ya mchango kutoka kwa jirani yangu ambae anatarajia kufunga ndoa.
Nimepokea kadi hii na shughuli yao inaonekana inafanyika mwezi ujao, Hii ni kadi ya kwanza napokea ya kuhusu haya masuala toka nizaliwe 23years ago maana nilizoea...
WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ?
Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo,
1.nywele huwa Wana zibreach
2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi
3.huvaa Yale masuruali ya...
Habari. Naona kuna jambo zuri sana la kufunga taa za barabarani za sola. Zinagharimu kiasi gani taa hizo mbali na nguzo zake? Haziwezi fungwa kwenye nguzo za TANESCO mitaani?
Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema.
Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe?
Taja jina la huduma, kampuni inayotoa hizo huduma, kero na maboresho ungetamani yafanyike.
Karibuni.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
gani
kenya
kimya
kodi
kujua
kukutana
kutumia
maana
maandamano
mbili
mgogoro
nchi
odinga
raila
raila odinga
rais
rais samia
raisi
ruto
samia
tanzania
wiki
wiki mbili
Hallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
Vipi wakuu;
Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini.
Binafsi baada ya kustruggle...
Wanabodi
Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya hovyo!, tukishtuka, tunavunja hiyo...
Ndugu Watanzania wenzangu
Wikiendi imeenda vyama sana.
Embu kwenye kumjua Hutu jamaa wa DP World kwa Tanzania embu naomba atusadie
Nadhani sio mimi pekee nisiyemfahamuu vyema .
Maeneo ya msingi
1.Historia take
2.Tasisi alizowahi kuhudumu
3.na sasa nini Nani chini
Mwisho elimu yake...
NMB huduma za kibenki kupitia kwa mawakala imekuwa ni changamoto.
Unaweza kwenda kwa mawakala hata 5 mfululizo, kila mtu atakuambia mara huduma hamna, mashine hamna etc.
Sijui shida ipo kwa nani.
Yaani kama una shida ya haraka na hela yako lazima ukione cha moto, ukiachilia mbali ATM...
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.
Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.
Na wengine wanakuwa maarufu Sana.
Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye...
Wakuu hamjamboni nyote?
Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa
Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya mafuts pet kilometa
Aksanteni niwatakie usiku mwema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.