nilikua nikieperuzi peruzi humu nikana kuna mtu anatafuta mume mtu mzima akanikumbusha mbali sana kwenye moja wapo ya kisa nilichokutana nacho, ilikua hivi
nilitokea kupata danga la kizee, ni mtu mzima mno maana si mama yangu wala baba yangu anamfikia sasa nikawa namuita babu, huyu babu niseme...