gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  2. JamiiForums Tanzania Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

    Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa. Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI...
  5. JamiiForums Tanzania Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

    Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
  6. JamiiForums Tanzania Mdada akifanya hivi ina maana gani?

  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali imekosa maelezo ya onyo, imekosa sauti; waandishi wa habari wamekataa kuwa mashahidi; Shahidi gani amebaki kesi ya akina Dk. Slaa?

    Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

    Hello! Matumaini yangu hamjambo kabisa. Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua. Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya; Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha. Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya uhaini imegoma; mbinu gani inafuata kuwanyamazisha waliotumwa na MABEBERU?

    Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani wa simu wenye latecy ndogo?

    Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
  14. JamiiForums Tanzania Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

    Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW? Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mkataba unaotambulika kisheria inabidi uwe na sifa gani?

    Habarini wadau, Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba. Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo/vitu gani vilikushangaza sana ulipokuja rasmi kuishi Dar es Salaam?

    Ni ndoto ya watu wengi mikoani na hata nchi za jirani kama Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda siku moja kutia mguu Dar au kuishi kabisa mjini Dar. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu pia. Kile kibao kilichoandikwa DAR ES SALAAM pale Chalinze kinachoonekana wakati ukitokea Arusha kilikuwa kinanipa moto...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Mo ina maana gani?

    Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji' Nimejiuliza hii kauli ina maana gani? Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Afande Wambura soma kesi ya Machano vs Republic hapa chini ujiridhishe ni elements zipi zinaweza kufanya treason

    S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported). Criminal Law Treason – whether or not treason can be committed against the Revolutionary Government of Zanzibar. Treason – what are the elements of offence...
  20. JamiiForums Tanzania UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…