gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo wa kupeleka maabara?

    Heshima zenu wakuu! Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu. Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili nijue afya yake. Ni jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo? Je, nichukue wa juu kabisa au wa ndani...
  2. Double line

    JamiiForums Tanzania Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

    Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika. Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani. Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani. Mwenye ujuzi wa...
  3. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

    Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi? Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu. Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
  5. cold water

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Vita ya HAMAS-Israel vinatoa picha na ishara gani kwa Afrika?

    Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii. Afrika tunajifunza nini?
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  8. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke wa aina Gani?

    Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela...... 4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe...... 5. Anaependa "Tit for tat" ...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwakosesha kujiamini watu maarufu?

    Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

    Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
  13. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  15. Namora

    JamiiForums Tanzania Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

    Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa. Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

    Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu. Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Duka gani nitapata original Tanalith C kwa ajili ya mbao?

    Kwa mwenye kujua, ni duka gani naweza kupata hii dawa original? tafadhali.
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wee Bocco una mpira gani unaokupa jeuri ya kunyamazisha watu wasiongee?

    Bloo wangu siku hizi unazingua sana kwa vitendo vyako vya kujifanya kunyamazisha watu kisa umefunga tugoli, tena tugoli twenyewe twa offside na twingine beki kajifunga. Ukweli ni kuwa hakuna cha maana unachofanya uwanjani siku hizi, kazi kuwapiga vichwa na vikumbo wachezaji wenzio. Nakushangaa...
Back
Top Bottom