gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnapenda Bunge lijalo 2025 - 2030 liwe na sura gani?

    Watanzania, SALAAM! Hivi sasa kwa tathmini ya haraka ufuatiliaji wa mijadala ya Bunge kwa wananchi wa kawaida umepungua kwa takriban asilimia 30. Kwamba kwa kila watu wazima 10 ni watu 7 tu wanaoweza kufahamu mambo ya kibunge na bunge. Tofauti na mwaka 2005 - 2010 ambapo kwa kila watanzania 10...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kuazimana gari au pikipiki yako, tukio gani limewahi kukukuta ulipoazima chombo chako cha moto?

    Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari. Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani ilikuwa bora kabisa kwako, ilikuwaje?

    Zile siku ambazo tuliishi kuziota kuwa badae yetu, kiasi zimekua mbali na sisi, naam! zile siku tulizoambiana utotoni kuwa tungekuwa hivi na vile. Siku zilizojengwa kwa dhana na picha ya umaridadi kwamba kabla ya miaka ya muongo wa tatu tutakua tumefika hapa na pale au kumiliki hiki na kile...
  5. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  6. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sentensi hii ina makosa/kosa gani la kiingereza

    A thorough perusal of the Notice of Motion and the averments in the affidavit, two major grounds on which the application is based clearly comes out.
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?

    Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga. Wewe je...
  9. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Gesti unatumiaga jina gani?

    Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je? Funguka hapa chini👇
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  12. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul? Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya kiasi hiki linapotokea jambo la kuzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kiasi cha kijana mdogo...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  14. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
  15. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Gigy Money asaidiwe

    Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa...
  17. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  18. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  19. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya? Au LIMBWATA?
Back
Top Bottom