gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

    Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi. Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

    Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

    Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  6. JamiiForums Tanzania Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba analaumiwa kwa kosa gani?

    Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho? Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  9. JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Kuna mikoa unaenda mara unatishika, watu wanachomana visu, kila bar lazima ugomvi utokee. Wasichana wanavuta bangi, wanapigana na punda hadi punda anakufa. Arusha sina hamu
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Mapenzi ni kitu gani?

    Wengine wanasema mapenzi matamu hakuna mfano hasa mkitokea kupendana, kuaminiana, kuheshimiana nk Wengine waliowahi kutendwa hawataki hata kusikia habari za mapenzi, Wengine wamepoteza maisha kwa sababu ya vivu wa kimapenzi, Wengine waliwasomesha wapenzi wao kwa gharama kubwa mwisho wa siku...
  11. JamiiForums Tanzania Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

    sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  13. JamiiForums Tanzania Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

    Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975 Yaliyomo kitabuni 👉Maana ya ujasusi 👉 Historia ya Ujasusi 👉 Aina za Ujasusi 👉 Ujasusi wa kimtandao 👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia 👉Ujasusi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

    Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii! Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  17. JamiiForums Tanzania Kujenga audio recording booth ya "kienyeji" inaweza gharimu kiasi gani?

    Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
  18. JamiiForums Tanzania Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  19. JamiiForums Tanzania Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

    Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi. Swali langu ni hili, hivi kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

    Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki. Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba. Kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…