familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  2. My mee

    Nini kinasababisha wanaume kukimbia familia zao?

    Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto, Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke,? Au ndo kuchokana?
  3. S

    Siamini kabisa Riz One anatumia madaraka yake ya waziri mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya taifa bali familia yake na kundi la mtandao

    Ni vigumu sana mtu yeyote kunishawishi kwamba Riz One aliteuliwa kuwa waziri katika ofisi ya raisi mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya usalama wa taifa. Ninaamini kwa dhati kabisa kwamba Riz One kawekwa katika nafasi hii kwa kazi maalum, na kazi hiyo kwa kiasi kikubwa si ya maslahi ya...
  4. Design Your Idea

    Kama unataka kumfanyia mtu mabaya, ebu jaribu kuwazia familia na wategemezi wake.

    Mnanyima ndoto na uhai kwa wengine kupelekea mifadhaiko kwa wanae huku nyie mkirudi nyumbani mkiwakombatia watoto wenu kwa furaha na bashasha
  5. Mto wa mbu

    Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa. Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
  6. Moto wa volcano

    Mwanaume sio kila weekend Mitoko na masela/ washkaji, muda mwingine tulia na mkeo

    Man to Man , sio kila wknd lazma utoke na Masela sometimes tuliza mbupu kwa mke wako mpange mipango ya maisha na ku have fun kuna watu hawana muda kabisa na familia zao au hata kukaa na watoto
  7. Poppy Hatonn

    Nataka kutoka familia ya Nyerere

    Unajua saying,Did he jump or was he pushed? Nataka kutoka familia ya Nyerere. How do I do it legally?
  8. B

    Tanko Tamada adai : Allah alikuwa ni mungu wa familia ya Muhammad na sababu yake ni hapa chini

    Aisee kama ni kweli itakuwaje Allah is prophet Muhammad family deity, because Mohammed father name is Abdullah, which means servant of Allah or slave of Allah. And he was pagan worshipping Allah
  9. Frank Wanjiru

    Familia mbili zagombania kuzika maiti ya mume wao

    Taharuki kubwa imeibuka nje ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure baada ya familia mbili kuzua sintofahamu kwa kugombania mwili wa marehemu Wambura Mwita Mampya, huku kila upande ukidai kuwa una haki ya kuandaa na kusimamia mazishi yake licha ya madai kuwa marehemu aliacha wosia...
  10. MamaSamia2025

    Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya. Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo muhimu kwako mwanamke, Elimu +kazi kisha familia(Mume mwenye akili za Tibeli)

    MAMBO MUHIMU KWAKO MWANAMKE; ELIMU +KAZI KISHA FAMILIA(MUME MWENYE AKILI ZA TIBELI) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya afya bora. Kinachofuata kwenye maisha yako kwa umuhimu na lazima ukizingatie ni Elimu. Lazima uwe na Elimu. Usikubali kuishi kama mbuzi. Kula kulala. 1. Tafuta...
  12. Milvik Tanzania

    Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  13. Mstahiki Mea

    Nikweli kuzaa hovyo kuna athiri ustawu wa familia?

    Karibuni kwenye kikao
  14. PROFOUND NOTION

    VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  15. M

    Kichwa Cha familia - kimekatwa na vichwa vya familia.

    Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia). 1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya) 2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia. 3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza...
  16. K

    Hawa wahuni waliojipachika madarakani mnaonaje wanapofanya mikutano ya hadhara kumalizana nao hapohapo ili familia zao ziimbe palapanda?

    Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee sio machawa.
  17. M

    Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  18. bless on

    Uamuzi wa Bibi: Kazi au Familia Kwanza?

    Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia. Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
  19. M

    Familia ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu.

    Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto kufanya hivyo na wao wakayumba vile vile, angalau basi Wajukuu wawaimarishe hawa ndugu zao. Je, ikitokea...
  20. A

    KERO Watumishi wa Halmashauri ya Handeni acheni kutelekeza familia

    Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
Back
Top Bottom