"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.
Habar wakuu nampango wakununua gari kwa ajili ya familia maana Nina familia ya watu 8 na huwa tunasafiri mara kwa mara mwendo km150,Sasa nahitaji gari comfortable yaenye nanafasi ninunue ipi kati ya hizo
Hamjambo!
Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi.
Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale vijana wenye ndoto kubwa za kuwa Namba moja, sio my number one ya Diamond. Hapana, Nazungumzia Jokery...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya...
Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi.
Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama.
Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa.
Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya...
Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,.
Wameeleza kuwa madai...
Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora.
Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
Familia za Wakenya 32 waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Ethiopian Airlines Flight 302 mwaka 2019 zinatarajiwa kupokea jumla ya dola milioni 87.3 (takriban Sh11.3 bilioni) kama fidia.
Ajali hiyo ilitokea Machi 10, 2019, muda mfupi baada ya ndege hiyo kuondoka Addis Ababa nchini Ethiopia...
Haijalishi ni baba yako hata yeye hukusoea sana kwa bahati mbaya afrika baba hakosei, mama ndio anJulikana anaharibu watoto, ndugu ndio watoa miongozo na nongwa, etc
Utaishia kuwa na stuck mindset
Unaweka uvumilivu kwa kuogopa laana za kufikirika, lawama za kutamkiwa
Haujatukana mtu ...
Naomba kuuliza jamani
Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto, mapepo, mara majini, ila unakuta Pesa ipo ya kutosha kabisa tena nyingi, ila magonjwa kama yote...
Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine.
Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?
Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza.
Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
Kuwa na familia ni jambo la maana na la muhimu sana.
Kuona watoto wako /wewe katika version nyingine wakikua na kufurahia maisha aise inaleta faraja sana...huku ukiwahudimia vyema kwanzia chakula,malazi,mavazi,matibabu,elimu pamoja mama yao akipata mahitaji yake.
#kataa ndoa wana point ila...
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao...
Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria
1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani.
2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi za muziki Afrika.
Peter ametoa simulizi yake kupitia mfululizo wa video unaofikia Part 8/8b...
Niliwahi kuishi Mbeya, maeneo ya Mama John.
Karibu na nilipokuwa nikiishi kulikuwa na gesti yenye baa ambayo ilisimuliwa kuwa sehemu ya kukutana kwa watu waliokuwa wakipanga shughuli zao za utapeli. Hapa Mama John palikuwa ni sehemu ya makutano ila shughuli zao wanazifanyia maeneo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.