Sisi waswahili tunasema uungwana ni vitendo na salamu kwa aliye mbali na wewe ni nusu ya kuonana. Nawasalimu kwa maamkizi yetu wote watoto na wavyele
Anuani ya mada yangu iko wazi na yenye kueleweka. Mwenye kujua ajitokeze atupe faida za kutokuoa na kutokuolewa
Ahsanteni sana.
Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu
Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni.
Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha.
Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo...
Shetani au ibilisi kama kweli yupo duniani na sio dhana tu ya wajanja wa dunia ili wapige hela basi atakuwa amebeba faida kuntu kuliko hasara zake.
Moja ya faida kuntu za kuwepo shetani duniani ni kama ifuatavyo:-
(i) KUSHUSHWA NA KUANDIKWA VITABU VITAKATIFU
Mungu aliamua kushusha Quran na...
Habari wana JF,
Ni swali la kujiuliza.
Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea?
Nini faida na Hasara za...
Na ashukuriwe Mungu muumba mbingu na nchi, Ndg. zangu wana JF, Asalamualeykhum.
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa rehema zake na wema wake hata tumeweza kuiona siku ya leo. Ndugu zangu, sote tunajua jinsi mchakato wa uchaguzi unavyokuwa mgumu. Siyo kwa wagombea tu, bali hata kwa...
Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
Nianze Kwa kusema hivi!! Mimi si mwana CCM Ila ni mshabiki wa kutupwa Kwa JPM na Baadhi ya viongozi katika Chama
Siasa zangu si za kuwa mwanachama wa Chama Fulani, Ila ni mshabiki wa mtu yeyote makini kutoka Chama chochote cha siasa, sifungwi na Chama chochote kile.
Sasa basi, kuna mambo huwa...
Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020.
Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na...
Kwanza..ni kuanzisha shindano la urafiki mwema baina ya wanafunzi la kuandika na kutumiana barua kati ya shule moja na nyingine ndani ya mkoa kwa kutumia bahasha na stempu zilizo na logo au chapa ya kampuni zitazouzwa kwa wanafunzi hao kwa bei rahisi.hapo ni mwanzo wa kujitangaza.
Pili...
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife.
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine.
Ratiba yake kwa hizo siku...
“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa sambamba...
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za Afya, mkituchagua vitaendelea ili kulinda maslahi ya wanyonge"-JPM
Kama wewe kweli ni Rais wa...
Biashara ina tafsiri pana sana.
Baadhi ya shughuli zinazoitwa za ‘kiimani’ zinashabihiana kwa kiwango cha 100% na shughuli zingine za kibiashara ambazo husajiliwa na kupewa TIN number, leseni ya biashara pamoja na mashine za EFD.
Mfano:
1.) Mtu anaponunua maji kwa shs. 500/=, kisha...
HIZI NDIO FAIDA SABA ZA KULALA BILA NGUO KABISA
Katika swala la kulala kila mtu hua ana utamaduni wake wa kulala, wengine hua wana mavazi maalumu ya kulalia, na wengine hulala na nguo yeyote tu ambayo hujikuta ameivaa siku hiyo...kitaalamu kulala na nguo sio kuzuri kiafya na kisaikolojia kwani...
Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani?
Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi.
MAJUKUMU
Jukumu kuu la watazamaji ni kutazama matendo na shughuli zinazoendelea katika mchakato wa Uchaguzi na kuhitimisha...
Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali
Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote.
-------------------------...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.