faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Point less

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya Mapenzi katika kipindi cha ujauzito ina faida kwa Afya ya Mama, Baba na mtoto?

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito Faida zake Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga reli SGR zitarudi baada ya muda gani kabla ya faida?

    Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli ya SGR lazima ituongezee mapato kuliko tutoa huduma, maana tanzania hatujaifikia luxury hiyo...
  5. Nonchalant

    JamiiForums Tanzania Faida za tiketi za kielektroniki kwa wamiliki wa mabasi

    Baadhi ya Malengo na faida mfumo wa ukataji wa tiketi za bus kielektroniki nchini ▪️Kuwa na udhibiti katika sekta ya usafirishaji. Wasafirishaji kuwa na ushindani wenye tija, Mfano kwa sasa nauli zinazowaongoza ni za mwaka 2013 lakini hawazitumii. Basi la daraja la juu (luxury) anauza bei ya...
  6. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya IST inawezaje kunirudishia faida

    Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata msaada mwingi sana kutoka kwa wana jamii wenzangu wa humu ndani, kikubwa ni bando tu. Ngoja niende...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya rejareja (chumba na sebule) na faida zake

    Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni bahati sana kukuta vyumba viko wazi unatafuta mteja kulinganisha na kupangisha nyumba nzima. Katika...
  8. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida kuwaheshimu wafu | Mpe heshima anapokuwa hai

    Nagusia mifano michache tu. Maradona ana historia ndefu sana pale Italia hapo kwenye club yake ya Napoli. Baada ya kufa ndio ule uwanja unaotumiwa na club yake ukapewa jina lake, hapo Maradona alifaidika nini? Ilishindikana nini kupewa hilo jina mfu akiwa hai? Kuna mifano mingi tu ya...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika jamii yana faida na hasara zake

    Zamani haikuruhusiwa binti kuzaa nje ya ndoa. Ikitokea binti amepata ujauzito kabla ya ndoa, wazazi walimlea mpaka anajifungua na akisha jifungua mtoto anatolewa kwenda kuasiliwa. Wazazi wengine waliwapeleka watoto wao kwenye nyumba za watawa. Kule mabinti walifanya kazi ya kufua nguo, kuanzia...
  10. Jibebe Inc

    JamiiForums Tanzania SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa ili uone faida

    Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa, nikiangalia wale settlers wa Zimbabwean na South Africa waliweka pesa nyingi kwenye kilimo na wanazalisha vyakula kwa wingi. Wakati wa British East Africa, wazungu waliopenda kulima walipewa ardhi lakini kwa masharti ya kuonyesha bank statement inayoonyesha...
  12. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Faida ya maji ya madafu yakichanganywa na ndimu au limao

    Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya. Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

    MUHIMU: PICHA HII SIO YA PAKA WA HAPA KWETU Hapa kwangu napoishi tuna paka, Sio mimi niliemleta bali ni mke wangu. Hatuna tatizo la panya kwa hio bado sielewi paka anahitajika wa nini. Kuna jirani ana fuga ngombe huwa anatuuzia maziwa nyumba chache, Mke wangu alilipia ujazo wa ziada...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Faida kubwa waliyoipata CRDB na NMB sasa sehemu kubwa iende kwenye gawio la wanahisa

    Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja. Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
  17. Stiffler88

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  18. OLS

    JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Faida na madhaifu ya Demokrasia

    Demokrasia ikitekelezwa ipasavyo husaidia kuleta faida zaidi kwa watu. Hii ni pamoja na:- Kulinda maslahi ya raia. Watu hupata nafasi ya kupiga kura juu ya maswala muhimu yanayoathiri nchi yao au wanaweza kuchagua wawakilishi kufanya maamuzi haya. Kukuza usawa. Kanuni moja ya demokrasia ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzuia uingiaji na usafirishaji nje bidhaa zifuatazo tumetengeneza faida au hasara?

    Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi? Tulidhibiti usafirishaji wa mazao ya chakula nje hasa Kenya ambayo inategemea chakula kutoka kwetu, je Hali ya soko la ndani...
Back
Top Bottom