elimu

  1. L

    JamiiForums Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mgeni Rasmi Wiki Ya Elimu ,Ujuzi na Ubunifu Tarehe 24/8/2026 Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itakayofanyika Siku ya Jumatatu ya Tarehe 24/8/2026 Mkaoni Tanga. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  2. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Wabunge wa Uganda Waja Kenya Kutafuta Majibu ya Changamoto za Elimu

    Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao. Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
  3. JamiiForums DIwani Haruna Mushi apongeza serikali kutoa vifaa vya kujifunza kwa vitendo elimu ya watu wazima Kata ya miembeni

    Moshi Manispaa- 18/8/2026 Moshi, Kilimanjaro โ€” Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi, Mhe. Haruna Mushi, amepongeza juhudi za Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia katika shule mbalimbali, hatua inayochochea...
  4. JamiiForums Wanafunzi Kirima sekondari wapewa elimu ya kujitembua,kupiga vita vitendo vya ukatiri wa kijinsia ,afya na elimu

    Agosti 14 mwaka huu wa 2026, ilifanyika semina maalum kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kirima iliyopo Kata ya Kibosho Kirima wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye lengo la kuwajengea wanafunzi uelewa na maarifa muhimu katika maeneo ya taaluma, afya, kujitambua pamoja na kupinga na...
  5. JamiiForums Kwanini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
  6. JamiiForums ๐—”๐——๐—ข๐—•๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง๐Ÿ‘‹

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! ๐Ÿ˜ฑ Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. ๐ŸŽจ๐Ÿ“ธ๐ŸŽฌ Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. ๐Ÿ–ผ๏ธ Photoshop โ€“...
  7. JamiiForums WAITโ€ฆ What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  8. K

    JamiiForums Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  9. JamiiForums Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  10. JamiiForums Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  11. A

    JamiiForums DOKEZO Uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo uangaliwe

    Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
  12. JamiiForums Elimu ya Tanzania kwa upande wa afya na teknolojia. Watu watakufa na wengine watakuwa wahanga

    Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF. Moderator utaweka. Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni kichekesho. Mimi hapa JF sikusomea HKL ndio maana napata tabu na wengi wanaona navyo wasilisha...
  13. JamiiForums Ukiangalia kundi kubwa la CCM hivi vyote wamekosa Akili na elimu

    Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa. Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali. Sasa hawa uwezi kutofautisha makalio na njia ya kinyeo utanuzi wa vipenyo kuanzia mpaka wa ikweta mpaka kuingia...
  14. K

    JamiiForums Watawala hawana mpango na Elimu bora wananchi amkeni

    Viongozi wetu wamekuwa mara kwa mara wanafanya majaribio ya kitaaluma na wakati wote majaribio hayo yameacha simanzi kwa baadhi ya wanafunzi ambao ndio wahanga wakati wote Humu katikati kuliibuka waziri aliyeunganisha somo la Physics na Chemistry likawa somo moja (Chemistry with Physics)...
  15. JamiiForums Upigaji kupitia semina za kutoa mafunzo kazini, Chanzo cha elimu duni.

    Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu. Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo Semina hizo...
  16. D

    JamiiForums Anadhalilisha โ€œwasomiโ€ wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
  17. JamiiForums Kwa yaliyotokea usiku wa fight ya Choki vs Tony , elimu ya masumbwi inabidi itolewe kwa mabondia na mashabiki

    Usiku wa pambano kati ya Juma Choki na Tony Rashid uligubikwa na malalamiko kila kona kulingana na aina ya maamuzi waliyotoa majaji. Miongoni mwa mapambano ambayo maamuzi yake yalileta utata ni haya 1) Debora Mwenda vs Dorothea. 2)Dulla Mbabe vs Hussein Itaba. 3) Main card (Juma Choki vs...
  18. JamiiForums Kama mzazi na kama kuna wazazi hapa JF tuungane kurekebisha elimu ya tanzania naona kama ni vichekesho.

    Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani. Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
  19. JamiiForums Joel Nanauka: Miradi ya Elimu na Afya Ni Msingi wa Kujenga Kizazi cha Taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa kujenga kizazi chenye elimu bora, afya njema na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya...
  20. JamiiForums Elimu kuhusu Passport

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ