Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence' Girls' Islamic Seminary, kuwa wameweka Mkuu wa Shule anayetuhumiwa kwa vitendo vya...