elimu

  1. JamiiForums Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  2. JamiiForums Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  3. JamiiForums Bodaboda Mtwara wapewa Elimu ya e- Ardhi, Wahimizwa kurasimisha Ardhi zao Kisheria

    Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria. Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
  4. JamiiForums Elimu ya tanzania hipo siku lawama zitakuwa nyingi hapa JF na kwengine.

    Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi. Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary. Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa. Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
  5. M

    JamiiForums Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  6. JamiiForums Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025 MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1. Mtihani wa darasa la Saba utafutwa ifikapo 2027. 2. Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. Hii itaitwa Elimu ya...
  7. S

    JamiiForums NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  8. G

    JamiiForums Mabadiliko tunayohitaji kwenye ELIMU yetu ni kuongeza au kupunguza miaka ya kusoma au kuboresha content?

    Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ?? Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ?? Twende TU hivyo hivyo uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko Watasoma watoto wa maskini na machawa...
  9. JamiiForums Mfumo wa elimu utakaowaandaa watoto kwa ajili ya wakati ujao: Fahamu siri ya shule ya Elon Musk, 'Ad Astra'

    Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
  10. JamiiForums Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  11. JamiiForums Mpatie mwanao elimu maana ndio urithi wa kudumu

    📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓 Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako? Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi. ✅ KG hadi University ✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum ✅...
  12. JamiiForums Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

    Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi, ukitegemea mshahara hupigi hatua Wanakula maisha ni wenye Mia ya mingi ya hela, wale ambao hela I...
  13. A

    JamiiForums KERO Wizara ya Elimu, ingilieni kati kuhusu Utendaji wa NACTVET

    Kumekuwa na changamoto katika usimamizi na uchakataji wa taarifa za wanafunzi, kuanzia hatua ya usajili hadi utoaji wa namba za AVN. Ucheleweshaji huu umekuwa ukivunja matumaini ya wanafunzi wanaohitaji kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Hadi sasa, vyuo mbalimbali, ikiwemo DIT, Tengeru, IAA...
  14. JamiiForums NECTA: Darasa la Tano mwaka 2026 kumaliza Elimu ya msingi 2027

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania. Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, kwa lengo...
  15. G

    JamiiForums Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  16. A

    JamiiForums KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  17. JamiiForums Shule mpya ya Makulo yafuta adha ya watoto kutembea zaidi ya km 10 kufuata elimu

    Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu. Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
  18. JamiiForums Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  19. JamiiForums Jumapili ya leo naomba nitoe elimu kuntu, adimu sana huwezi ipata popote pale kwa Dada zetu na wamama watarajiwa.

    Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana. Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa maskini sana maishani, hata kuolewa itakuwa vigumu sana, na watakuwa wapumbavu sana shuleni...
  20. H

    JamiiForums Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…