elimu

  1. JamiiForums Tanzania TAHLISO yapinga wanaoidharau Elimu ya Tanzania

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Elimu isichezewe

    Kuna huu utaratibu wa watu kujiita Dokta flani wakati ana kadegree ama amjetihadi sana masters mpechempeche kisa tu ni kiongozi ni upuuzi. Hivi hawa wanajua joto wanalopitia watu wa PhD mpaka wakatunukiwa ?,halafu wao hakuna hata chochote cha maana walichokifanya ghafla wanajiita Dr. Huu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Akili mnemba (Artificial Inteligence) Waafrika tumezaliwa nayo sema basi tu elimu yetu tulishindwa kuiweka kwenye mfumo

    Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana! Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo. Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia! Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kukamilisha safari yangu ya elimu

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda mrefu kukamilisha ngazi ya diploma angalau mojawapo. Je, kwa hiyo ngazi ya elimu, ninaweza kuomba...
  6. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna muziki, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio. Sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani

    Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana makali ikiwa hali hii itaendelea Sijajua watu wanaweza kujifunza nini kupitia makalio kama baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Soma hapa upate elimu juu ya CCM na mikataba iliyoingia na mashirika ya misaada ya mashoga

    MaCCM wajue, sisi siyo wajinga... waache upumbavu. CCM wanakataa ushoga mdomoni, wanakubali ushoga kwenye makaratasi na mikataba ya kulinda haki za mashoga wanasaini. CCM ni walaghai wasiotaka kuwaeleza ukweli wafuasi wa mbogamboga. The Progressive Alliance (PA) ni jumuiya ya kimataifa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la Famasi latoa Elimu kwa Umma kuhusu majukumu yake na matumizi sahihi ya Dawa

    Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii imefanyika katika Mkoa wa Pwani (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo) na Baraza liliweza kutoa elimu kwenye maeneo ya...
  9. JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na elimu wanaongoza nchi kama playground — mtaji wao ni uswahili na ubabaishaji

    Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog. Me? I’m a...
  11. JamiiForums Tanzania Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa Boost wawezesha walimu 1,800 kidijitali kuboresha elimu msingi

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho nielimisheni

    Kenya kuna kitu kinaitwa county. Kina bunge lake. 1. What is the equivalent of a county to Tanzania administrative system? 2. Naangalia Citizen Tv, Kenya, county ina bunge, wanatunga sheria , je hakuna mgongano wa bunge Kuu la Kenya na mabunge haya ya county? How do they work harmoniously?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Bado nakuja kwenu wanaJF kuomba elimu; Nini' Vigezo vya Star wa movie za mapigano?

    Je, 1. Ni ujuzi wa kupigana?!!! Kwahiyo mnataka kuniambia Angelina Jolie anapiga hatari, sio?!!! 2. Muonekano? 3. Utajiri Au nini'?!!! Msaada tafadhali.
  18. JamiiForums Tanzania Msimamo wangu juu ya elimu ya msingi na maboresho yake

    Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza Kuongeza somo la compyuta Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
  19. JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Aneth Komba: Somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024. Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…