elimu

  1. Nomadiq

    JamiiForums Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    HESHIMA MBELE wakuu. Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma. Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Elimu za kilimwengu za kale

    Tutiririke dhana ambazo zimekuwa zikitumika Kwa maelfu ya miaka iliyopita ambazo hazifahamiki na watu wengi,lakini zinatumika na wachache katika maisha yao.
  3. T

    JamiiForums Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari. Vitabu vyote vya darasani na mazoezi. Popote ulipo Tanzania tunakuletea. Tupigie 0765...
  4. Trainee

    JamiiForums Naomba elimu hii kutoka RITA

    Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana Ni kwa nini?
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

    Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi? Asanteni.
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kupitia Lissu unaona kabisa kuna raha ya kuwa na Elimu

    Kupitia Lissu nimekuwa inspired Sana kuhakikisha tunasomesha Sana watoto wetu katika Shule bora na kuwatafutia Exposure. Maana jamaa Ana kichwa kimetulia Sana . Ile kusema atajitetea lengo lake lilikuwa kubwa Sana .
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  9. MFALME WETU

    JamiiForums uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  10. R

    JamiiForums Elimu haina mwisho: kwanini inaitwa: Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act Chapter 310

    Kwanini inaitwa Law Reform? Mbona chapters zingine za sheria zetu haziitwi hivyo? (hazianzi na Law Reform)
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  13. W

    JamiiForums Elimu ya darasa la saba inatosha kwenye biashara za uchuuzi, sioni haja ya kusomea hadi chuo wakati kuna mabilionea wengi std 7

    Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k. Nunua chupi 200 uza 300 faida 100 Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000 nunua simu elfu 70 uza laki 2 Biashara...
  14. Mwamundela

    JamiiForums BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  15. Barakoa 001

    JamiiForums Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  16. W

    JamiiForums Kwa elimu ya masters kipi bora, uwe Mbunge au mtaji wa biashara bilioni 2

    Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER) kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
  17. Kisesetusese

    JamiiForums Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  18. Marco Seth

    JamiiForums Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  19. Bueno

    JamiiForums Wadau wa Elimu Mnalielewa hili?

    Picha inaongea mimi sitosema mengi na hii sio AI ni Human Intelligence (HI)
  20. W

    JamiiForums TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
Back
Top Bottom