Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu.
Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa tunakwenda kuleta mapinduzi ya mfumo wetu wa elimu nchini ,ila hadi sasa tunatekeleza sera ya elimu...
INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia.
Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe kama hujaridhika ongea na Mwakalebela umpe hela aka file malalamiko CAS au ongea na waandaaji wa kombe...
Kama unapata elimu na haikuwezeshi kuwa na fedha bado elimu haijakusaidia. Watu wengi wamesoma sana ila wanafeli kuzitumia elimu zao kuyamudu mazingira ili wapate mahitaji muhimu.
Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo clearing imesimama kwaajil ya nshu gani. Mana kuna dar es salaam bila neno clearing.
Tuna jinasibu kuwa uchumi wetu unategemea kilimo wakati kijana anaemaliza darasa la 12 au kidato cha nne hana ujuzi wowote wa kilimo unaomzidi alieishia darasa la saba. Wakati kijana huyu alisoma shule ya mchepuo wa kilimo.
Kama mwanafunzi wa kidato cha nne atapewa kipande cha ardhi, mfano...
Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari.
Muda huu Wananchi wengi wamekamatwa Wakiwemo akinamama na Wamefungiwa kwenye Ofisi za Kijiji hadi Walipe kiasi...
Nilikuws nasoma stori moja kuhusu Shanghai, Shanghai ni moja ya miji yenye watu wenye elimu ya kieango cha juu sana. Watoto wa shule za msingi walivyopimwa uwezo wa hesabu na sayansi walikuww ni moja ya wanafunzi bora duniani.
Watu kotoka miji ya ndani ya China walikuwa wwnatamani watoto wao...
Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara.
Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
"Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini.
Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya msingi na sekondari kwa ujumla.
Kuleta visingizio kuwa eti awamu ya tano kuanza kutoa elimu bure ndio...
Salaam Wakuu,
Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu...
Wengi waliosoma nje ya nchi kwa kulipiwa na bodi ya mikopo (HESLB) wanadaiwa fedha nyingi kulinganisha na waliosoma nchini. Nimeona jamaa ana mshahara 900K but anadaiwa 47M. Kwa mwezi atakatwa 143K, kwa mwaka 1.7M. Under "ceteris paribus" mwamba atahitji miaka 28 kumaliza deni lake. Lakini...
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa...
Ndugu WanaJF,
Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia kuelimisha wasafiri na wanaotarajia kusafiri kuhusu mambo mbalimbali ili safari zao ziwe salama na...
Elimu siku hizi ni ile bora ni graduate mjomba atanisaidia nipate kazi.
Kwanini nasema hivyo, nimeenda na kuona interview nyingi sana baadhi ya wahitimu wanaokuwa wamemaliza hawana uelewa wa walichosomea kutokana na ile kukaririshwa.
Mfano niliwahi sikia chuo fulani lecture fulani akitunga...
Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga.
Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi.
Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli?
Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB.
Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.