Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima?
Watanzania sisi ni watu wa kujipendekeza sana, ukiachilia kwa Mbowe kujipeleka kwa Raila Kenya na kupiga naye...
Wana JF,
Wenzangu yawezekana tupo tunaendelea na maisha yetu ya kawaida ila kwa jinsi mimi nionavyo kuna tatizo zito kwenye uchumi wa Dunia na kwa hatua tatizo hili lilipofikia kuna uwezekano wa mifumo ya fedha iliyopo ikashindwa kabisa kufanya kazi hali ambayo itazusha taharuki Dunia nzima...
.Wote tumeshuhudia mfumuko wa Bei za bidha mbalimbali ulimwenguni kote.
Kwanza tulishuhudia uchumi wa Dunia ukitikiswa na ugonjwa wa corona miaka miwili iliopita. Hali iliyosababisha uzalishaji kuwa mdogo kutokana na lockdown.
Kwanini haya yanatokea?
Hii hali mbaya ya uchumi itaendelea na kuwa...
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo.
Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais..
Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine.
Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
Maisha haya bhana kuna kipindi maisha yalinipiga mjini nikapoteza direction ikabidi nijichanganye kitaani nikutana na vijana flani ivi nikawaomba mishe wakaniunganisha na jamaa wengine kazi ya kuchoma mkaa
Tukasafiri kwenda porini kijijini ndani uko kufika kuna mzee tukamkuta ana age kama 80s...
KUTOA NI KANUNI YA ASILI YA ULIMWENGU INAYOMAANISHA KUPATA.
Hakuna kiumbe kinachoweza kukwepa kupata. Kupata hapa namaanisha kukidhi mahitaji ya kuendelea kuwepo na pia kuongezeka. Hii ni kanuni ya asili na unapoifuata kwa kujua au kutokujua matokeo yake ni kupata.
Kutoa siyo kupoteza katika...
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022.
Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa
Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa
Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni;
Player...
Dunia hii haina usawa. hasa hasa hapa Africa yaani Tanzania..Unakuta mtu umesoma hadi Masters ama hata PhD ya sayansi sasa unajikuta unatungiwa sheria za nchi na form four na div 4.
Hii kwa kweli mimi binafsi inaniuma - inauma saana.
Sera za nchi huwa zinatungwa na watu wasomi makini.. siyo...
BREAKING NEWS:
Italian football agent Mino Raiola died after illness.
He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc
🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔
Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
Kwa mtazamo wangu
1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake.
3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
Wasalaam
Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi?
Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC.
Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC.
WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
Niende kwenye hoja.
Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books".
Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa...
UNA KITU GANI CHA PEKEE?
Swali hili ni muhimu kujiuliza na kujijibu mwenyewe hata kama likikukera ikiwa tu unahitaji kuitambua thamani yako au kuiweka katika hadhi yake sawasawa na vigezo vyako.
Acha kuendelea kutamani jaribu sasa kujiuliza wewe una kipi cha kukufanya upate uyatakayo. Kwa nini...
Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena.
Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni.
Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.