dunia

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

    Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia. Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi...
  2. JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

    JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe. JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
  3. JamiiForums Tanzania Sijui dunia inaenda wapi!

    Sijui tu viumbe au binadamu wa sasa shida nini, dunia imekuwa ya matukio ya ovyo Kila siku, maadili ni shida kwa Kila upande, siyo Rika au umri au cheo, tuombe tu Mungu maana familia zimejaa shida za malumbano, ubabe na majigambo. Mungu atupe tu upendo na tuiombee dunia irudi kwenye maadili...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika. Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ananipenda au niko dunia yangu?

    Ee bwana ee! Juzi kati katika hali ya kupita pita hivi niko na mchizi wangu, si tukajikuta tumetulia eneo flani tunapiga stori na mrembo flani wa kishua huku tukimwagilia moyo. Nikawa najipigia zangu stori tu kiaina, mara pap! Mchizi kaniita pembeni kanipiga na kitu cha "Huyu sista anakufeel...
  7. T

    JamiiForums Tanzania NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

    NASA(National Aeronautics and Space Administration) imefanikiwa katika jaribio la kungonganisha sattelite ya DART(Double Asteroid Redirection Test) ikiwa katika mwendokasi wa mita 14,000 kwa saa, na kimondo cha Didymos(Dimorphus) chenye ukubwa wa eneo la mita 160 , na kuweza kukiyumbisha na...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti IMF: Uchumi wa dunia utashuka hadi 3.2% mwaka 2022 na 2.7% 2023

    Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China. Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
  9. JamiiForums Tanzania 80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

    Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

    Habarini za muda huu... Hii nimeikuta sehemu kwenye pita pita zangu nikaona nichangie na nyie... Zikiwa zimebaki siku chache kushuhudia mashindano haya makubwa ya kombe la dunia yatakayo fanyika nchini Qatar, ni vyema kwa watakao hudhuria mubashara huko nchini qatar kujiepusha na yafuatayo:-...
  13. JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine yawania kuwa mwenyeji kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2030

    Wakati vita vinaanza tuliaminishwa Ukraine imeisha na itazikwa kwenye kaburi la sahau ndani ya siku chache..... Spain and Portugal’s football federations have confirmed Ukraine has been added to their joint bid to host the 2030 World Cup. The three nations announced their collaborative bid at...
  15. JamiiForums Tanzania Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
  16. JamiiForums Tanzania Majini yanayoongoza kula pesa za wanawake nchi za dunia ya tatu

    Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine. 1. Waganga 2. Manabii wa uongo. 3. Saluni/Urembo na mavazi. Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kuifaurahia Dunia pamoja

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar. Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo; Umri: 22-30 Elimu : yoyote Rangi : yoyote Location: :Dar Asiwe mwanafunzi wa chuo. Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Inatubidi tuende na Dunia inavyotaka. Hivi Mungu yupo kweli?

    "Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale. Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!? Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu...
  20. JamiiForums Tanzania Zelensky anaposifia silaha za Marekani hana nia nzuri na dunia

    Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake. Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…