Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍
Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29.,
Kwenye kipindi chote nimekuwa hapa kuna mambo yameniacha kinywa wazi sana, naamini hata na wewe ndugu msomaji...