Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa.
Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani, WHATEVER COMES TO THEIR RESCUE IUNGWE MKONO. Kisingizio cha sovereignty of Venezuela collapses...
https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164
Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi.
Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea...
Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
Nawasalimu,
Salamu za heshima,
Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna alivyoweza kuacha alama kubwa hata kabla ya enzi ya teknolojia ya kisasa. Karibu usome kwa utulivu na...
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni tofauti na vijana wa mwaka 1961 wakati nchi ilipopata Uhuru.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo...
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka
Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu.
Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA.
KOREA wameipa dunia products za Samsung
Na hata Russia wameipa dunia AK 47
N K
Sasa sisi kama Tanzania tumeipa nini Dunia kama Product unique ambayo inaitambulisha Tanzania? Naomba kufahamu
Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana
https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
Niwasalimu watu wa ukumbi huu,
Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki.
Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
Kuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote.
Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka
Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani
Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo...
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.
Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki
Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi
Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot
Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
Hawa Wayahudi aka Jews waliuawa sana na Hitler. Mamia elfuu....
Wapalestina wanaua Wayahudi mpaka Leo.
Jana wameuawa huko Australia, Yani Baba na Mtoto wake wamevamia sherehe zao na kuuwa 15 wamekufa.
Shida ni nini.
Kabila hili la Yesu Kristo.?
Tafadhali
1 ndoa ni utapeli
2 dunia imejaa unafki
3 dunia sio sehem nzuri ya kuishi
4 Familia sio kila kitu
5 kuamini kiumbe mwanadamu ni ujinga
6 kama kungekua na option ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe ningechagua kutokanyaga kwenye dunia hii iliyojaa watu wabaya
7 sina hakika kama Mungu yupo
8 I hate...
HABARI KUU
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, uwepo mtandaoni si hiari tena bali ni hitaji muhimu kwa biashara, taasisi na watu binafsi. Ikiwa unahitaji website ya kisasa, Android App, au iOS App yenye muonekano mzuri na utendaji wa hali ya juu, sasa ndio wakati sahihi wa kuchukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.