dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

    Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53 Alikuwa muigizaji anayependwa na kuheshimika sana, wengi wakisema ni mwigizaji wenye kipaji kikubwa. Mwongoza filamu...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera, Pendo Butenghe afariki dunia

    Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka...
  3. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  5. JamiiForums Tanzania Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

    Lowassa amepoteza mdogo wake anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa usiku wa kuamkia leo hii kwenye hospitali ya Agha Khan. Mungu ampumzishe mahali salama na aipatie nguvu familia ya marehemu. AMEZIKWA TAREHE 29/04/2020
  6. N

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP. Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

    Jaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

    Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

    Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri. Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali. Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia? Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
  12. JamiiForums Tanzania Dunia isingekuwa na changamoto yeyote binadamu asingeweza kumkumbuka Mungu.

    Habari kwa wote! Imani yangu wote ni wazima. Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema. Assumptions hizo kama ifuatavyo:- Dunia ni ideal. Ideal nikiwa na maana ya hakuna changamoto/matatizo kwa binadamu. Binadamu anaweza kufanya kitu/jambo lolote...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dk. Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo. Mtoto wa amarehemu amethibitisha kifo. Mtoto wa Marehemu Mama Rwakatare, Mutta Rwakatare amethibitisha kwa kusema "Ni bahati...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri ni maua ya dunia

    Nilipata safari ya dharura kutokana na shughuli zangu katika mkoa wa kilimanjaro, Arusha na Manyara, dah kweli dunia hii kuna watoto waliobarikiwa. Nilipokuwa napita pita njiani...nakutana na warembo matata wenye shepu zao, sura za kuvutia, tabasamu lisilohisha, na miili ya ushawishi n.k...
  15. JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ni Kati ya mwaka 2100 / 2500 na hizi ndio sababu zangu

    Msiogope !! Covid 19 sio mwisho wa dunia. Mwisho wa dunia will be like around the year 2100 to the year 2500. And these are my reasons. The world can only contain 10 billion people. In other words, the capacity of our planet is to carry only 10 billion people and not more than that. As for...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzia: Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma afariki Dunia

    Aliekuwa Meneja wa TCRA mkoa wa Dodoma Ngugu, Antonio Manyanda amefariki duni. Mwili inasemekana uko Hospitali ya Lugalo ukifanyiwa uchunguzi. Inaonekana kama heart attack. Alikimbizwa BOSCH usiku lakini akafariki kabla ya kufika saa 7 usiku. Alikuwa arudi Dodoma leo asubuhi baada ya Pasaka...
  17. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

    Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo. Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia...
  18. JamiiForums Tanzania Hata wababe wa Dunia wanapo kata tamaa ni Mungu pekee tu

    Putin akiri kuwa hali yazidi kuwa mbaya nchini Urusi Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa hali ya Corona nchini humo inaelekea kubaya. Putin, ambaye alifanya tathmini juu ya coronavirus katika mkutano wa baraza la mawaziri uliofanyika kwa njia ya video, amesema kwamba hali katika...
  19. JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika bado wametawaliwa na fikra za kikoloni, Waafrika wananyanyasika Dunia nzima hawachukui hatua. Inauma sana

    Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa. Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…