dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu

    Masache Kasaka amethibitisha kifo cha Baba Yake kwa kusema amefariki dunia kutokana na tatizo la moyo lililokuwa linamsumbua. “Wakati anaedelea na matibabu katika hospitali akapata mshituko wa moyo uliosababisha kufariki dunia,” . Msiba uko nyumbani kwake, Chunya mkoani Mbeya, “na mazishi...
  2. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Dunia duara...

  4. JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda kasi sana

    ".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?" RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza. Rais; Mama unaelimu gani? Mteule; Nina masters in Public administration. Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utashuka kwa 5% katika miaka miwili ijayo, Wapinzani tumuunge mkono Rais Magufuli atuvushe!

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%. Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla. Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

    Nimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi. Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  8. JamiiForums Tanzania India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana...

    Wallah wacha nilale kimsingi nimechoka aswa aswa baada kuinywa hii beer ya Kijapan 😫 😫 😫 😫 😫
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  12. JamiiForums Tanzania IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia. === Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo. Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  15. JamiiForums Tanzania Cameroon: Mwandishi wa Habari adaiwa kufariki dunia mikononi mwa polisi, Shirika la RSF lataka uchunguzi binafsi kufanyika

    Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  18. JamiiForums Tanzania Kipanya: Dunia ni ndogo kaka

  19. JamiiForums Tanzania Imetosha, hakuna haja ya silaha mpya maana za sasa tu zikitumika dunia itafubaa

    Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM ijikite kwenye Siasa ya uchumi iachane kushughulikia hawa akina CHADEMA maana wameshajifia, Uchumi wa dunia unadorora!

    Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo. Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…