dunia

  1. JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alizaliwa Masasi, Mtwara 12/11/1938 alisoma Shule ya Msingi Ndanda kisha shule ya Sekondari Pugu, Dar 1962 alipata shahada ya kwanza katika Lugha ya Kiingereza kutoka ktk Chuo Kikuu cha Makerere Uganda 1963 alipata shahada ya uzamili katika masuala ya...
  3. JamiiForums Tanzania Leo imedhihirika kuwa bila CCM imara Tanzania itayumba. Tanzania kwa takribani wiki nzima imesimamishwa na Uchaguzi wa CCM

    Kwa kweli yaliyofanyika kuanzia Uchaguzi wa kuwapata wagombea Urais kule Zanzibar kuanzia ile tarehe 8 mpaka leo nchi yetu imesimama kwa maana ya uwazi wa mchakato wa uchaguzi ulivyokuwa Haijawahi kutokea popote Duniani kwa chama chochote tangu kuumbwa kwa Dunia kuwa na mvuto kama wa CCM mwaka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

    Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi. His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

    Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Ndugu Calvin Maimu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Tarehe 17/07/2020 katika Hospital ya Hindu Mandal Jijini Dar e Salaam. Mfanyabiashara huyo mkubwa alikuwa akijishughulisha na mradi wa kuuza Matrekta maarufu Dodoma kama Kilimo kwanza maeneo ya Ndejengwa na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  8. JamiiForums Tanzania JaJi Bongole Afariki Dunia akiwa Kazini: Umejifunza nini kwenye kifo chake?

    Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ukizaliwa binadamu kwenye hii dunia basi huna bahati, utajiri sio suluhisho la kudumu

    Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri. Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele. Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Michuano ya Kombe la Dunia 2022 kuchezwa mwezi Novemba na Desemba badala ya Juni na Julai

    MICHUANO YA KOMBE LA DUNIANI 2022 KUFANYIKA MWEZI NOVEMBA NA DESEMBA Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa michuano ya kombe la Dunia 2022 inayotarajiwa kichezwa nchini Qatar inatechezwa kati ya mwezi Novemba na Disemba. Katika taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo leo mechi ya...
  11. JamiiForums Tanzania World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

    Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank. Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012. Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtoto wa Nelson Mandela, Zindzi Mandela (59) afariki dunia

    Kituo cha SABC kimeripoti kifo cha mtoto wa Nelson Mandela na Winnie Madikizela-Mandela, Zindzi Mandela (59) kilichotokea asubuhi ya leo jijini Johannesburg Kwa mujibu wa SABC, taarifa ya kifo imethibitishwa na familia. Hata hivyo, chanzo cha kifo hicho bado hakijawekwa wazi Zindzi ambaye ni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaihimiza dunia kuongeza ushirikiano katika kukabiliana na changamoto

    Julai, 11 ya miaka 15 iliyopita ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 600 tangu mwanabahari maarufu wa China Zheng He aanze safari yake baharini kwa kuongoza kikosi kikubwa cha marikebu katika Enzi ya Ming ya China mapema ya karne 15. Katika safari zao baharini mara 7, Zheng He na kikosi chake...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Mtumishi wa Mungu Mmarekani wa Makanisa ya Kikristo (Wapentekoste), Morris Cerullo amefariki dunia siku ya Jumamosi Amezaliwa 2 Oktoba 1931 Passaic, New Jersey, Marekani. Na amefariki 10 Julai 2020. Bwana ametoa na Bwana ametwaa World-renowned evangelist Morris Cerullo passed away on July...
  15. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

    Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo wa kutumia vitambulisho vinavyo thibitisha kwamba mtu hawezi kuambukiza wengine C-19, COVI-PASS...
  16. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia baada ya kuzimia kwenye kikao

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri Baada ya kuzimia alichukuliwa ni kukimbizwa Hospitalini ambako baada ya muda alitangazwa kuwa amefariki Bw Coulibaly alikuwa anatarajiwa...
  17. JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

    Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu. Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika Chanzo: Mwananchi ==== Licha ya Serikali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wawili au kuwa na watoto wa mama tofauti kwa dunia ya leo ni kujitafutia matatizo

    Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia ndiyo Sayari pekee ya Matatizo na Changamoto

    Dunia ndio sayari pekee katika sayari zinazozunguka jua ambayo ina sifa ya kusupport uhai wa viumbe hai nikimaanisha wanyama na mimea. Japo kuna tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanywa na mataifa yaliyoendelea juu ya sayari Mars kusupport uhai wa viumbe hai. Mwanadamu ndio kichwa cha dunia...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu

    Masache Kasaka amethibitisha kifo cha Baba Yake kwa kusema amefariki dunia kutokana na tatizo la moyo lililokuwa linamsumbua. “Wakati anaedelea na matibabu katika hospitali akapata mshituko wa moyo uliosababisha kufariki dunia,” . Msiba uko nyumbani kwake, Chunya mkoani Mbeya, “na mazishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…