dini

  1. Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
  2. WARANGI, washika dini wanaojua mahaba!

    Tofauti na wachaga. Hawa wanawake wa Kirangi dini wameishika, mavazi ya stara na mtu ukiomba unapewa yote, kiroho safi. Asante Kondoa.
  3. Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

    Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi . 1. Saudi Arabia 2. Iran 3. Qatar 4. UAE 5. Afghanistan 6. Mauritania 7. Yemen 8. Brunei 9. Maldives 10. Pakistan 11. Somalia 12. Malysia
  4. Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  5. Serikali Kuendelea Kushirikiana na Taasisi za Dini

    Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini, Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Oktoba 4, 2026 📍HANDENI, TANGA —————————————————- Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
  6. F

    Watu wengi waliokuzwa katika dini wanapata shida kutofautisha Ukweli ( Facts) Vs fiction ( kazi za fasihi na sanaa) mfano uwezo wa nyoka kuongea

    habari wadau. ukweli mchungu ni kwamba watu wengi tuliokuzwa katika dini tunapata shida kutenganisha reality ama facts na fiction ama kazi za sanaa. mwisho wa siku tunajikuta tunajidanganya wenyewe kwenye kutatua changamoto zetu za kimaisha. mambo mengi sana ambayo ukweli ama uhalisia ni...
  7. Kama dini yako inakufundisha kuwa kuua mtu kunaweza kukupeleka mbiguni basi tambua haupo kwenye dini bali upo ndani ya CULT

    CULTC usually means a group with strong devotion to a particular leader, belief, or ideology, often involving unusual or extreme practices.
  8. Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  9. Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  10. Hivi haya mafundisho ya dini tunayopatiwa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa mafundisho haya haya?

    Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
  11. T

    Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  12. Mtego wa Ukiritimba wa Kiroho: Je, ni Kweli Mwanadamu Anaweza Kumjua Mungu Bila Kiongozi wa Dini?

    Wakuu, salamu. Je, inawezekana kuwa hofu kuu ya taasisi zote kubwa za kiroho duniani haikuwa watu kutenda dhambi, bali ilikuwa ni hofu ya waumini kugundua kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupita kwenye milango ya mifumo yao na bila kulipa kodi ya kiroho? Ukitaka kuona swali...
  13. Siungi mkono katiba mpya isiyo na haki za makundi yote na kutenganisha dini na siasa.

    Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono. 2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

    Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
  15. Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

    Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake. Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda. Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo...
  16. Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  17. Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  18. Dini au Kabila, kipi kina Maana zaidi katika Maisha ya Mwanadamu?

    Habari zenu wadau..... Najiuliza kati ya dini na kabila, kipi hasa kina umuhimu na maana zaidi katika maisha ya hapa duniani kwa mwanadamu? Mtu anazaliwa katika kabila fulani bila kuchagua, hawezi kubadili kabila lake. Lakini dini mtu anaweza kuichagua, kuifuata au hata kuibadili. Sasa kama...
  19. Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

    Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
  20. F

    Wizi wa dini, kwanini mapadre na wachungaji huwa hawatoi sadaka na nani huzila?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke. Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…