Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi).
Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili
• wazinifu walio kwenye ndoa
• wazinifu ambao hawajaoa
Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto.
Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
Shikamooni,..
Nafikiri njia rahisi ya kudumu kanisani au kwa mchungaji husika iwe ni UWEZO WA HUYO MCHUNGAJI AU KANISA HILO KUKUFANYA UISHI KWA USTADI BILA KUTEGEMEA KUOMBEWA AU KUWEKEWA MIKONO.
Kwaufupi
Mahali qanapojikita kukufundisha kwa maneno na vitendo (UNAONA na wao wameweza wanayosema)...
Unaweza kuwa unadai umeona au umesikia miujiza mbalimbali kwa mitume na manabii wa kisasa pamoja na wale wa zamani katika vitabu ila kuna miujiza hutakaa kuisikia au kuiona ambayo ni pamoja na;
1. Mkono uliokatika kuota
2. Miguu uliokatika kuota
3. Mtu mwenye mapengo kurejeshewa meno
4...
Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome.
Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka.
Mungu ibariki mkifa
Hello Great Thinkers , My name is Adriz Mr Justice , My friends call me a Consigliere.
Moja kwa moja...
Moja kwa moja , hili jambo nimechunguza muda mrefu na lipo globally , Muislamu akifanya jambo lolote likatrend la hovyo au ukatili basi moja kwa moja Imani yake inahusihwa na tukio ...
Ndugu zangu Watanzania,
Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu.
Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu...
Nanukuu kitabu cha kiislamu kama ifuatavyo;
"Kasema Mtume (s. A. W) Anamwingia Mmoja Wenu Shetani Katika Sala. Basi Anampuliza Katika Matako Yake. Basi Yule Mtu Inamwingia Fikra Kua Umemtoka Upepo. Nae Haukumtoka. Basi Akiona Hali Hiyo Asiondoke Kwenye Sala Mpaka Asikie Umemtoka Huo Upepo...
Bila shaka kila mtu atakubali kwamba wanamuziki wanaofanya vizuri zaidi katika muziki wa bongo fleva na taarabu ni wanaotoka Pwani na hasa kutoka jamii ya Kiislamu, wanaofanya vizuri katika muziki wa injili (muziki wa mungu) ni kutoka bara, mkoani Mbeya.
Ambacho huwa huwa sielewei vizuri ni hii...
Hoja ya Komredi Kawaida kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika maadili ya waumini inastahili mjadala wa kina. Si kwa sababu viongozi wa dini wanapaswa kubeba makosa yote ya wanasiasa, bali kwa sababu malezi ya kiroho na kimaadili ni sehemu ya dhamana yao.
Katika maadhimisho ya kuwaombea...
Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
Sote ni mashahidi,
kwamba licha ya kuhamasishwa sana kuhudhuria ibada ya kinafiki na miongoni mwa madhehebu ya dini ambayo yanasemekana kua miongoni mwa wachochezi wakuu wa ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025,
Wananchi na waTanzania wote walipuuza wito huo na wakaendelea kutimiza...
Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee).
Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote.
Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.
Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October...
Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar .
Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira...