demokrasia

  1. Yoda

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  2. C

    John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi. Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
  3. K

    Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao

    Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao. Imebaki utekaji, utishaji na uchawa. Lakini kwa Watanzania wengi wanataka demokrasia na kuweza kuchagua wawakilishi wao ba sio kuchaguliwa na wachache. Hawa wakandamizaji wanapigana vita ambayo kwa Watanzania...
  4. PAYE

    Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere Oktoba 14, 2026: Baadhi ya Nukuu Muhimu za Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere

    Katika video hii ya kihistoria inayokumbusha misingi ya taifa, Mwalimu Nyerere anasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kutenganishwa na uhuru wa watu binafsi. Kwa mujibu wa Mwalimu, maendeleo ya vitu (kama barabara na majengo) hayana maana ikiwa hayamkomboi mwanadamu na kumpa nafasi ya kuamua hatala...
  5. ChoiceVariable

    Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  6. Damaso

    Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
  7. E

    Mwaipaya: Kwa nini nilimuunga mkono Lissu uchaguzi wa CHADEMA na Nipo tayari kulipa gharama za demokrasia

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa. Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Heche: Kama hawataki demokrasia na sisi tutaenda kule kuwafungia milija ili wawe na njaa hapa ndani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa iwapo Serikali haitakuwa tayari kuheshimu demokrasia, chama hicho kitachukua hatua za kuishinikiza Serikali. Heche ameyasema hayo leo, Oktoba 1, 2026, wakati akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Tarime...
  9. Yoda

    Demokrasia inaweza kufanya kazi kwenye nchi yenye watu wengi wa aina hii ?

    Ukiangalia IQ za hawa watu watatu wanaweza kweli kupiga kura kwa utashi kumchagua kiongozi hata wa ngazi ndogo tu kama diwani ?
  10. S

    Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Hii ni sehemu ya maneno ya mwisho mwisho katika final submission ya Lissu mbele ya Mahakama leo hii tarehe 28/09/2026: "Nimepigania haki na demokrasia katika nchi hii kwa sehemu kubwa ya maisha yangu. Kuwa na nchi ya kidemokrasia, inayojali haki za watu wake, inayojali utu wa binadamu, imekuwa...
  11. and 998 others

    UAE (Dubai) hakuna Demokrasia pia Hakuna NGOs

    Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote na umaskini hadi kwenye kope. Wakati UAE (Dubai) hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha
  12. and 998 others

    UAE (Dubai) hakuna mfumo Demokrasia, pia Hakuna NGOs ila wananchi wana-enjoy maisha

    Bongo NGOs kama zote ila matukio kama yote UKIMWI na umaskini hadi kwenye kope. Wakati Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo Dubai ni mojawapo ya falme zake, hawana hizo mbanga ila wananchi wana-enjoy maisha.
  13. Tlaatlaah

    Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  14. ChoiceVariable

    Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  15. M

    Demokrasia ilobagazwa

    Kwanza ni muhimu tuelewe maana ya Demokrasia kabla ya kuutaka kujenga mfumo wa utawala ambao unakidhi matumaini yetu badala ya matakwa ya Demokrasia yenyewe. Kwanza Demokrasia ni nini? Imeelezwa kwa kifupi kama Demokrasia ni mfumo wa Serikali ambapo mamlaka ni ya wananchi, ambao huyatumia moja...
  16. K

    Bila mfumo wa demokrasia wote hata CCM tunaenda chini

    Sababu hizi. 1. Upinzani wa sasa sio wa vyama bali ni wananchi 2. Hakuna ajira kwa vijana 3. Rushwa imekomaa sana Tanzania hasa kwa viongozi wa juu 4. Tanganyika na Zanzibar zimerudi na zinapigana na Tanzania 5. Wachina na UAE hizi nchi mbili zitatuzamisha kabisa 6. Utekaji 7. Uhuru wa vyombo...
  17. Yoda

    Demokrasia imekufa, tupiganie zaidi utawala bora wa maendeleo

    Demokrasia ya kiliberali (Liberal democracy) imekufa duniani, imezikiwa na utawala wa Trump, Israel na matajiri mabilionea wa dunia. Tupiganie zaidi utawala unaowajibika kuleta maendeleo ya vitu na unaowajibika kwa raia bila kujali unapatikanaje. Ni bahati mbaya sana demokrasia imekufa kabla...
  18. Zerock

    Mfumo wa demokrasia ni mfumo wa kumchagua "Dikteta" unayempenda

    Dunia nzima inaamini demokrasia ni mfumo wa kuwafanya wawe huru kufanya kitu wanataka. Demokrasia bado ni mfumo wa unyonyaji,huku ukikupa uhuru wa kumchagua mtu wa kukunyonya kwa muda wa miaka 4/5. Kodi na ushuru unaolipa Kila siku unaenda kulipa mishahara yao mkubwa,mahari ya bure+mafuta huku...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Wasira: Demokrasia Lazima Ianzie Ndani ya CCM, Wanachama Wawe na Uwezo wa Kuamua Yanayohusu Chama Chao

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe. CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya demokrasia katika uendeshaji wa shughuli zake, ikiwemo katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wake. Hayo...
  20. the ostrich eggs

    Toa mbinu za kukiua Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali? Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA... Lengo kikawe chama kikuu cha Brifucase
Back
Top Bottom