Polisi nchini Bangladesh wametumia vitoa machozi na risasi za mpira kuwatawanya wafuasi wa aliyekuwa Waziri Mkuu Sheikh Hasina, wanaotaka arejee nchini humo.
Gari moja la polisi lilichomwa moto katika wilaya ya Gopalganj, ambako wafuasi wa tawi la wanafunzi la chama cha Hasina cha Awami League...
Mjadala umeibuka kati ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba, na Askofu Mwamakula kuhusu uongozi wa TBC, baada ya Rioba kumkosoa askofu huyo kwa kile alichodai ni kutoa malalamiko dhidi yake hadharani bila kwanza kuthibitisha ukweli wake au kumpa...
Kwa utulivu wa fikra,
elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema vijana nchini Tanzania wanaokosoa masuala mbalimbali ya kitaifa wanakabiliwa na hali inayozua wasiwasi kuhusu usalama wao.
Mahinyila amesema kuwa bila kujali itikadi za vyama vya siasa, Tanzania imefikia...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Umoja wa Kimataifa wa vyama vya Demokrasia (International Democracy Union – IDU) umelaani vikali hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa umoja huo, Tundu Lissu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kikuu cha upinzani nchini...
Utawala wa Tanzania ulijaribu kumtisha kwa uwezekano wa hukumu ya kifo kwa sababu ya msimamo wake wa kudai mageuzi ya uchaguzi yatakayo hakikisha uchaguzi huru, wa haki na uwazi. Hata hivyo, upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha madai yake ya uhaini.
Pamoja na uamuzi huo, Mahakama imemkuta...
Unapofunga mtu anatetea kusudi Fulani haumfungi yeye Bali lile kusudi au jambo analolitetea
Hicho ndicho kilichotokea aliyefungwa sio Lisu Bali ni lile jambo analolitetea Kwa miaka ya MAISHA yake
Lisu Yuko huru baada kukamilisha mission yake ya kuonyesha watanzania na mataifa mengine udhaifu...
Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania.
Itaanza kwa visasi mfano hao wenye madaraka kama Polisi, magereza, wanasiasa na wengineo walinde familia zao maana kuna dalili sasa mambo yataenda huko.
Lindeni watoto wenu, ndugu zenu kwasababu kuna watu ambao watataka kulipiza...
picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake.
Wakuu wa jukwaa hili,
Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
demokrasiademokrasia tanzania
hukumu
hukumu ya tundu lissu
kisheria
kisiasa
kutoka
lissu
mustakabali
mustakabali wa demokrasia
tanzania
tundu
tundu lissu
uchambuzi
uchochezi
uhaini
Mwanaharakati maarufu wa demokrasia nchini Hong Kong, Joshua Wong, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela siku ya Alhamisi kwa kosa la kushirikiana na mataifa ya kigeni.
Tayari ametumikia karibu miaka sita gerezani, na alitimiza umri wa miaka 30 mwezi uliopita. Kiongozi huyo wa zamani wa...
Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats.
Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
Habari wadau,
Tutarajie nini kutokana na ushindi Wa wademocrats hasa katika eneo la haki za binadamu na demokrasia duniani
Watapata sapoti zaidi au mambo yatakuwa yale yale. Karibuni Kwa maoni
Miezi michache ilopita, Mliaanza kulia lia mliposikia Kuna Orodha ya Viongozi watawekewa VIKWAZO na Marekan/EU.
Bungeni mkaanza kulia lia na kupayuka.
Sasa Mfungeni Lissu JELA !!!
Nyie simna Majeshi, mna honga makamouni yawatetee.
Haya mfungeni!!.
Dunia Haijawahi kalia Kimya, Mauaji ya...
TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU
Huyu Charles ni mchambuzi mzuri, ndiyo naenda na hiyo hoja yake ya pili.
Hoja ya kwanza kwamba Godbless Lema kasaliti, binafsi mimi siiamini sana mpaka tujiridhishe....
Hoja ya tatu ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Demokrasia?
Si vibaya, na pengine...
TAARIFA KWA UMMA
HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI
Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
Mwaka Jana 2025 tarehe kama ya Leo nilikuwa katika viunga vya jiji la Dar es Salaam.Hali ilikuwa shwari na waliokuwa wakishiriki katika mchakato wa uchaguzi walikuwa wakiendelea na kampeni katika hali ya utulivu.Hakuna ambaye aliamini kwamba yaliyotukia tarehe 29Oktoba yangetukia pamoja na kauli...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Geita, Justine Octavian Anthony, ametoa kilio kizito kuhusu kuporomoka kwa misingi ya demokrasia na utawala wa sheria nchini, akimtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati wimbi la ukamataji, utekaji na mashtaka mazito dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.