dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  2. MWENYE KUJUA APARTMENT / AIRBNB YA BEI RAHISI DAR ES SALAAM

    Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
  3. Waziri Aweso tusaidie, wakazi wa Dar asilimia kubwa hatuna maji

    Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji?? Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
  4. S

    Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  5. D

    Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

  6. Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  7. INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  8. K

    Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  9. R

    Kesi iliyofungiliwa na Adv Kisabo kuhusu walipo kina Soka kusililizwa kesho Dar mahakama Kuu

    Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
  10. Orodha ya bandari kavu za magari Dar es salaam.

    Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za kibandari. Unapoagiza gari kutoka nchi za nje unaweza kulipokea bandarini TPA ama bandari yoyote kavu kati...
  11. Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  12. Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

    Wakuu Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli. Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika. Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
  13. Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  14. Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  15. M

    Msaada kiwanda Cha cello plastic kipo Dar sehemu gani

    Habari wakuu nimerudi kwenu kutaka msaada kwa anaejua mahala kilipo kiwanda Cha cello plastic, kipo Dar sehemu gani?
  16. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  17. Bus gani lenye VVIP ya ukweli na sio usanii. Nahitaji lakutoka Mwanza to Dar.

    Karibuni wakuu.
  18. Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
  19. M

    Natafuta gari dogo la kukodisha Dar

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…