dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

    Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari...
  2. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

    Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri. Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali. Haki ya...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Picha: Hemed Abdulla arejea Dar kutoka Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi tarehe 30 Juni, 2024.
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini

    AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
  5. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Rent Temeke Chang'ombe: 3 Bdrm Apartment/Ghorofa Inapangishwa - Dar

    • Direction: Maduka Mawili • Condition: Ya kuhamia • Rent: TZS milioni 2/mwezi • Terms: Miezi 6 au mwaka • Security deposite: TZS milioni 2 (ilipwe mwanzo wa mkataba. Itarejeshwa mwisho wa mkataba kama hakuna uharibifu ndani ya nyumba) • Viewing charge: TZS 20,000 • Malipo ya kamisheni ya...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Aweso kuweka Kambi jijini Dar Es Salaam hadi kieleweke

    WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA). Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  8. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Iringa Town, Business Center for Sale - Iringa

    • Direction: Iringa Town opposite Mlandege main bus terminal • Built up area: 277 sqm • Plot area: 4320 sqf (401 sqm) • Document: Title deed • Price: USD 950,000 . • 22 hired shop frames 3 on front side 6 beside 13 in the corridor • The frames laid on a foundation of 9 storey building • The...
  9. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Mbu wa Dar ni mdebwedo

    Mbu wa Dar wanatongoza kabla ya kung'ata uatasikia nzuuu nzuuu nzuuu, ukiwapush wepesi kinoma, dawa za kuchoma tu wapo hoi bin taabani. Mbu hana afya kabisa..... Mbu mwembamba kama sisimizi...... Mbu kakondeana kwa utapiamlo mkali..... Mbu anahitaji msaada wa haraka ICU direct.. Malaria yao...
  10. Job Richard

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wenye maduka uko Mbagala Rangitatu Dar es Salaam.

    Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  14. Ngoniboysinai

    JamiiForums Tanzania Nakodisha maturubai 7/7 Dar es Salaam

    Habarini! Kwa muhitaji na mfanyabiashara mwenye eneo viwanja vya saba saba Dar na anauhitaji wa turubai na kufungiwa idadi yoyote kwa makubwa na madogo yapo nakodisha hata ktk sherehe misiba nk. Yapo safi tuwasiliane 0620772313
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  16. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Haya huko bara kwetu si ni kwa minyamwezi na mihuni, kulikoni mnajaza Meli hivi za Tanga na Dar.

    .
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

    Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Expression Of Interest (Eol) Dar Es Salaam at GIZ

    Expression Of Interest (Eol) For Vehicle Repairs & Maintenance In Dar Es Salaam, Tanzania GIZ is a federally owned enterprise operating worldwide, assisting the German Government in achieving its policy objectives in the field of international cooperation. It offers demand-driven, tailor-made...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

    Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu...
  20. beeper

    JamiiForums Tanzania Njoo bàriadi mjini nije pwani, morogoro au dar idara ya msingi

    Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
Back
Top Bottom