dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wengi wanao ondoka Dar kukimbia maandamano ya Gen Z Disemba 9

    Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu. Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyemshauri Samia leo kuongea na Wazee wa Dar kakosea sana

    Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha. Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua mustakabali wa maisha yao hadi walipwe. Atasema, walioandamana hawakuwa watanzania, wakati waliokamatwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  13. JamiiForums Tanzania Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa mshindi. Katika uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Ilala, Diwani wa Mchikichini...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  16. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baadhi ya wanachi waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea

    Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo. Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
  17. JamiiForums Tanzania Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Washtakiwa 18 wa Uhaini Warudishwa Rumande

    Washtakiwa 18 wa makosa ya uhaini yaliyotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 wamerejeshwa rumande kusubiri tarehe iliyopangwa kurudi tena mahakamani hapo kuendelea na kesi hizo. Jumla ya washtakiwa 198 kati ya 216 waliofikishwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru ambapo ndugu...
  19. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

    Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo. Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda na Machinga Dar: Desemba 9 hatufungui biashara

    Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni. Viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…