Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.
Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.
Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
Salam wakuu,
Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana.
Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo...
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao.
Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao.
Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji.
Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana
Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika.
Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu.
Idadi ya watu sio kubwa sana kama siku zingine. Wafanyabiashara kadhaa wanaonekana kuja kazini kwa kuchelewa
Idadi inaendelea...
Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
Nasema hivii this time nyie wenye magari ya UTEKAJI mtafaham wajeshi wa kazi maalum uwezo wao kimedani! hao wala hawafanyi kazi kwa maelekezao ya CDF, nawaaambieni hamtaamini nyie watekaji!
Pangeni tu ujinga wenu taarifa zoooteee tunazipataaaaa
MNAPANGA MISHE ZETU PALE OSTERBAY POLICE...
Dar es Salaam residents packed major supermarkets on Sunday as many rushed to buy essential supplies ahead of December 9, resulting in long queues and crowded aisles across the city.
The rush comes even after the Tanzania Police Force announced a ban on the planned December 9 demonstrations...
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar.
Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa.
Soma pia: Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye...
Hello Wakuu
Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa
Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo?
Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.