dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  2. Myfancyface

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam ni mchafu; Amos Makalla fanya ziara kujionea

    Salaam Mkuu wa mkoa, Nikiwa mkazi wa Dar es Salaam hasa Ilala Jiji, nimeshuhudia kuendelea kuchafuka kwa jiji hili. Ulipoteuliwa nilipata matumaini ya mabadiliko hata kidogo. Hali ni mbaya; mitaro imeziba na karatasi zimesambaa sehemu nyingi. Jiji la Ilala na vitongoji vyake vinaongoza kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Jane Magigita ajitosa kugombea Ujumbe Muwakilishi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuwakilisha Mashirika yasiyo ya Kiserikali

    Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake. Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

    Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani. Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali. Majibu ya naibu waziri...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
  8. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; jiji la Dar es Salaam litakuwa safi kila siku

    Nasema irudiwe na irudiwe tena na tena. Huyu mtalaam lazima atakuwa mwanaCCM kindakindaki maana haya ndo mawazo chanya ya wana CCM. Twende pamoja. CCM CCM CCM nimewaita mara tatu. Mpeni usajili huyu mwamba tena jezi namba 9 striker kabisa tumalize mechi zetu mapemaaaaa. ========= USAFI...
  9. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa Bunju A Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete document za serikali ya mtaa zipo Bado hakijapimwa Size 30*30 KUHUSU MIUNDOMBINU Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani. Maji yapo. Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa Bei...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam

    Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili. Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee. Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa Nchini

    Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa nchini. Amesema kuna kata moja katika Jiji hilo la kibiashara ndio inaongoza kwa vibali vya kuruhusu watu kumiliki silaha na jambo linalomshangaza ni wahusika...
  14. mkadiriajimajenzi

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama. Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa...
  15. Kigoma Independent

    JamiiForums Tanzania Page ya Grammy kuonesha show ya Diamond Platinumz iliyofanyika Dar es Salaam, ni ishara nzuri ya kushinda Grammy 2021/2022

    Habarini Wana Jf. Good news Ni kuwa Page ya Grammy umeona efforts anazozofanya kijana mpambanaji na msanii A-List Africa (Diamond platinumz, Burnaboy na wizkid) kuwa anastahili Grammy. Na hii imwtokana na Chachu ya BET nomination na warner music group kuliko watapromote Album yake inayoenda...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  17. safaris56

    JamiiForums Tanzania Nyerere national Park Exclusive 1 Day Safari

    Nyerere National Park Itinerary Early Morning at 4am, you will be picked from your hotel in Dar es salaam and after a short safari briefing from the guide, drive to Nyerere national park for 4hrs-5hrs depending on the road traffic and speed limit of 50KPH.On arrival check in at the park for your...
  18. safaris56

    JamiiForums Tanzania Ugali Nyama Choma(T-Bone Steak)

    Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga. Ugali : 500 Nyama : 3000 Tsh3,500 Delivery: ugali:500 Nyama :3,500 Tsh4,000 Delivery Fee: Kuanzia...
  19. safaris56

    JamiiForums Tanzania 3 Days Mt. Hanang Hiking from Dar es Salaam

    Twende Mlima Hanang Siku 3. Tarehe : 25th-27th,June,2021 Garama: 250,000Tsh Mwisho wa Kulipia: 20th Inajumlisha: Chakula Malazi Viingilio Usafiri kwenda na kurudi Muongoza Njia Kufanya Booking: WhatsApp: +255683833513 www.safari56.co.tz tours@safari56.co.tz Instagram: www.instagram.com/safaris56
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
Back
Top Bottom