Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022.
Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
Golden Buzzer!!
Summary
Ibrahim and Fadhil stun the Australia's got Talent with heart- stopping stunts.
Both Ibrahim and Fadhili made both the judges and the show participants feel the tension through their outstanding acrobatics.
Unravelling their journey with The Beat, the two detailed...
Serikali imeweka kituo maalum cha ufuatiliaji wa ugonjwa wa Ebola kwa abiria wanaotoka mikoa ya mipakani mwa Tanzania na nchi jirani katika kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na EATV mratibu wa huduma za maabara kutoka Manispaa ya Ubungo Nalimi Nacharo...
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara.
Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi:
1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada.
2. Baada ya Korosho kununuliwa...
Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
Waraghbishi ni wananchi wanaofanya kazi ya kuichokoza jamii iweze kujitambua na kuona wao ni watendaji wakuu katika maendeleo ya maisha yao.
Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Maswa, Mbogwe, Kigoma-Ujiji, Kishapu na Pangani wanakutana Dar es Salaam kufahamiana...
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na...
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu.
Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
KIFO CHA BALOZI PAUL RUPIA: DAR ES SALAAM TUMEFIWA
Sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kunyanyua kalamu yake pale Abdallah Tambaza atakapoandika historia yoyote inayuhusu Dar es Salaam iwe matukio au iwe taazia.
Naitazama taazia ya Balozi Paul Rupia baada ya kumaliza kuisoma na kuna kitu...
Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika.
Source-Africa Wealth Report 2022.
List kamili hii hapa 👇
Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na...
Mtaa wa Mvita
Hapo nilposimama kupiga picha hii ndipo unapoanza Mtaa wa Mvita ukikutana na Mtaa wa Amani.
Mbele ya mtaa huu na ndiyo mwisho wa mtaa, Mvita unakutana na Mtaa wa Msimbazi.
Miaka hiyo Msimbazi ilikua barabara moja tu. Msimbazi na Mafia kulikuwa na nyumba ya bibi yangu Bi. Asha...
MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA
Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo, Tanzania DR Congo, Burundi na Zambia nchi hizi zina fukwe za ziwa Tanganyika pia mipaka yake ipo ndani ya...
Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.