dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  2. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Battle:Nairobi university vs Dar es salaam university

    Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo. Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam. Pia tutaangalia...
  3. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania Fundi electric fence Dar es salaam

    Piga 0746373222...Je,umechoka kusumbuliwa na vibaka na WIZI wanaoruka fensi YAKO na kuja kukuibia ndani ya NYUMBA? Je,umechoka kuwa na NYUMBA yenye fensi lakini fensi hiyo haikusaidii kuzuia WIZI Yani wanakuja wanaruka na kukuibia? Je,umechoka kusumbuliwa na fensi YAKO ya umeme(electric fence)...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bahasha Iliyobeba Kitabu Kutoka kwa Ally Dar es Salaam Kwenda kwa Ali Nairobi

    BAHASHA ILIYOBEBA KITABU KUTOKA KWA ALLY DAR ES SALAAM KWENDA KWA ALI NAIROBI Asalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Salim, Ahsante sana kwa kuniletea kumbukumbu ya Balozi Chirau Ali Mwakwere aliyoihifadhi ya Ally Sykes. Tulikuwa sote msibani na wewe ndiye yliyonifahamisha kuwa...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwezi uliopita nilizunguka Dar es salaam yote, haya hapa maoni yangu

    Dar es salaam ilijulikana kama mji mkuu na makao makuu ya Tanzania. Ila kwa sasa serikali imeamia Dodoma ambayo ndiyo makao makuu ya nchi. Shauku yangu ya kuizunguka Dar nzima ni katika harakati zangu za kutafuta wapi pa kuweka makazi yangu ya kudumu. 1. Masaki, Osterbay, Upanga, Msasani...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar es salaam ilianza kama madrasa

    Miongoni mwa urithi muhimu kutoka kwa waislamu https://www.youtube.com/watch?v=h5N76AzNRYQ
  8. N

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa Piano Dar es Salaam

    Habari ya uzima, wandugu, Nina uhitaji wa fundi mzuri wa piano , kwa yeyote ambaye anafahamu fundi mzuri wa piano popote pale Dar es salaam , tafadhali naomba nielekeze anapopatikana na kushare pia mawasiliano yake. Asante kwa ushirikiano.
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

    Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam sababu ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam ili watu wasambae kujenga...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kisasa wa Kiafrika!

    Katika jamii ya sasa, vijana wengi wanakosa mwelekeo na thamani, na hili linaweza kuathiri jamii nzima. Kama kizazi hiki hakitapewa uangalizi na mwongozo, tunaweza kujikuta na kizazi kilichopoteza mwelekeo, hata kabla ya kufika kaburini. Vijana wanavua ndoto kwa kubeti, wakitegemea bahati...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

    Ajali tanzanite bridge Dar es salaam
  14. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  15. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  17. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  18. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Dar hauridhishi

    Kiukweli hali ya watu kujiandikisha ipo chini sana hapa Dar es Salaam.
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
Back
Top Bottom