dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  2. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kuhisi dalili za mimba bila kuwa na mimba

    'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito. Hali hii husababishwa...
  3. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    MADAI Mdau wa JamiiForums ametoa mkasa mmoja unaomhusisha mume wa rafiki yake wa kike aliyeanza kuonesha dalili za ujauzito kwenye ujauzito mchanga wa mkewe. Mdau anaeleza kwamba shemeji yake huyu ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
  6. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Dalili kumi za kuchokwa na mpenzi wako

    Kama zipo mbili tu, achia ngazi mchuma uondoke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ufanye maombi sana. Haya angalia sasa kama wako hana hata moja: 1. Hupigiwi simu hadi umpigie. 2. Hutumiwi sms hadi umtumie. 3...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Bashiru v/s Sponsor: Kuna dalili mtu kutema au kutemeshwa mnofu soon

    Mungu ni mwema sana sana. Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku wakielekea kwenye anguko lao taradadi. I am not joking. Nilishaona kuyumba kwa mwelekeo wa chama hiko...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Dalili kuu kuwa wanaomizwa na kunyonywa ni raia maskini ni hii hapa

    Tozo za kila namna zinawaangukia wao. Hawana uwezo wa kumudu lakini watafanyaje sasa? Hawasikii miradi mipya ikianzishwa kwa ajili ya taifa lao. Ina maana pesa wanazokamuliwa zinakamilisha miradi ya zamani. Kuna genge la wana CCM wanaodai chama ni mali yao limewakalia vibaya wananchi, sasa...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za kwamba wewe bado ni maskini/fukara na unatakiwa ukaze zaidi

    Tukiachana na labda kushindwa kugharamia mambo yale ya lazima ili uweze kuishi, au kutokuwa na nyumba wala usafiri, basi hizi hapa dalili zingine ambazo hazitajwi sana ila zinamtafsiri kuwa huyu mtu ni maskini na anapaswa apambane sana. 1. Kuweza kuhesabu hela zako zote kwa mkono bila msaada wa...
  11. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Hoja zinazofundua akili: Uwepo wa Mungu na dalili zake

    TUCHUKULIE KUWA HAKUNA MUNGU Ikiwa Mungu hayupo mimi, wewe na vinavyotuzunguka as a nature pia vingekuwa havipo kabisa. Na kwanini labda ninasema hivyo. Vizuri, nina hoja muhimu sana. Tuchukulie tunakubaliana na wanasayansi kuwa sisi tulikuwa nyani au sokwe kama ilivyo elezwa kwenye vitabu vyao...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dalili za hatari kwa ujauzito

    Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya. Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
  14. To yeye

    JamiiForums Tanzania Dalili za mke au mume aliyekuchoka

    Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake Mi naanza na; 1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa. 2. 3. 4. 5. 6.Nakuendelea.... Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
  15. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

    Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
  17. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  19. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni dalili za Umasikini Watanzania wenzangu

    Wakuu poleni na majukumu, Moja kwa moja kwenye mada,kuna hizo indicator of poverty tulizosoma huko shule kama vile lack of capital,lack of education, poor infrastructure nk. Hizo mimi hazinihusu Naomba tuziangalie hizi dalili halisi za Umasikini kwa watanzania kama ifuatavyo👇 1: Unaamini sana...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

    Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
Back
Top Bottom