dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dalili kubwa za umaskini ni kushindwa kukopesheka

    Unatamba wewe ni tajiri na huna mtu au kampuni , au hata Bank hauna uwezo wa kukopa milioni 100 tu , ebu acha kuvimba jitafakari sana nyumbu wewe.
  2. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  3. JamiiForums Tanzania Dalili mbili kuwa hatima yako ni kuwa Mtu Mkubwa na mkuu (Greatness)

    First, You never fit in Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako. Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

    Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki. Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili. Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
  5. JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Drama hizi zisizoisha ndani ya CCM na Lissu kuendelea kuwa topic ya kila siku, kuna dalili za utabiri wa Sheikh Yahya kutimia ?

  7. JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania. Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Dalili Tatu, kuwa wewe umepakwa mafuta mengi (chosen one)

    1. Your undermined by many (Kuhujumiwa na wengi) 2. Your despiced by many (kudharauliwa na wengi) 3. Unahisi majukumu yote ya familia yanakuhitaji wewe ufanye na kutumika.
  10. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  11. JamiiForums Tanzania Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

    Dozi hii tuloandaa ni elf 50
  12. JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa ni dalili kwamba nasalitiwa?

    Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
  13. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  14. JamiiForums Tanzania IJue U.T.I ,chanzo, dalili, madhara na tiba

    U.T.I NI NINI U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria tunamuita E.coli ZIPI DALILI KUJUA UNA U.T.I 1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu ukikojoa. Wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  17. JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

    Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara. Jee wamefanya jambo la maana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…