chuo

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
  2. Nyendo

    Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  3. A

    KERO Nimesoma Chuo cha Udereva Meru, kwanini sasa natakiwa kusoma tena nikiomba leseni?

    Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni. Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
  4. Ntemi_Ntale

    Imagine kutumia miaka 4 chuo halafu ugundue CV yako inafanana na ya kila mtu!

    Kila mwaka... Maelfu ya wanafunzi wanahitimu. Wote wana... Degree CV Coursework inayofanana ______ Sasa waza...Wewe Ni recruiter umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume Una CV 500 mezani Una dakika 2 tu kuchuja Nani ataonekana? ________ Kama kila CV inafanana... Wewe utajitofautisha vipi...
  5. Gunner11

    Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

    Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi, ukitegemea mshahara hupigi hatua Wanakula maisha ni wenye Mia ya mingi ya hela, wale ambao hela I...
  6. A

    KERO Wanafunzi wote 295 wa Chuo cha IAA waliokata rufaa, rufaa zao zimekataliwa. Inawezekanaje?

    Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha appeals wamejulishwa kuwa maombi yao yamekataliwa kwa sababu hayakuonekana kuwa na hoja za msingi...
  7. A

    KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  8. A

    KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  9. A

    HOJA Chuo cha SUA kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za Wanafunzi

    Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa kozi, ulipaji ada nk. Utaratibu uliopo ni kwamba Mwanafunzi hawezi ingia kwenye mfumo huo akiwa nje...
  10. M

    KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  11. A

    KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  12. A

    KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  13. NostradamusEstrademe

    Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha. Wakatoliki Kipalapala n.k. Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole. Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea. Mbona YESU wakati analeta...
  14. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  15. W

    Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  16. funaku

    Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  17. DogoWaNjombe

    Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  18. G

    Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  19. A

    KERO Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka tangu tulipe fedha ya bima mwaka 2023 hadi mwaka huu tunamaliza hatujapata bima

    Mimi ni mhitimu wa Diploma katika chuo cha Ukutubi na Uhifadhi nyaraka School of Library and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Dar es Salaam, chini ya Maktaba ya Taifa. Tangu tulipoanza masomo ya Certificate mwaka 2023, tulilipa fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini hadi leo...
  20. Matunzo 02

    Ndoa ni chuo

    Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza. Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana. HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA...
Back
Top Bottom