Mwanaume mmoja nchini Kenya ameibua mjadala mitandaoni baada ya kudaiwa kujitolea kumlipia masomo na kumsaidia kifedha mpenzi wake kwa kipindi cha miaka minne katika Chuo Kikuu cha Karatina.
Kwa mujibu wa simulizi hilo, mwanaume huyo alimsaidia mwanamke huyo tangu alipoanza masomo hadi...
Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
Aisee mimi ni mtu nilikuwa na hofu sana ya kufeli mtihani. Kwahiyo kuna wakati nikiwa kwenye mitihani mikubwa kama ya taifa na pindi nipo chuo kwenye UE, ilikuwa kama nikikutana na swali gumu basi nakuwa na hofu na mpaka inapelekea kubana mapaja sehemu moja na kujikuta napiga bao na kupata raha...
TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer).
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA?
Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
Habari wadau wa JF.
Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa.
Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa
Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
Anonymous
Thread
chuochuo cha maji
dissertation
kisa
kuachana
maji
mateso
research
Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu.
Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
Anonymous
Thread
afya
chuo
malalamiko
mtwara
sayansi
uchunguzi
watumishi
wizara
Habari, wana-JamiiForums.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu.
Aidha, kiasi...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya mkopo
boom
chuochuo kikuu
heslb
hivi punde
kikuu
kuingia
malipo
mimi
mkopo
mkopo heslb
mwaka
mwanafunzi
mwanafunzi wa chuo
Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada.
Wanasema NACTVET hawajafungua...
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi.
Chuo cha ushirika moshi MoCU kilichopo mkoa wa Kilimanjaro kina hali mbaya hasa maeneo ya malazi ambayo wanafunzi wanakaa, pia hata sehemu ya vyoo na bafu hazina ubora na pia ni hatarishi kwa...
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza tuliopata mikopo ya elimu ya juu tunatakiwa kulipa ada kwanza ili kukamilisha usajili, licha ya kuwa tayari tumedhaminiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Hali hii inatupa changamoto kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa familia zetu, na...
Mliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi
Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia.
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.