chuo

  1. Amsomesha mpenzi wake Chuo Kikuu miaka minne,alipoenda kwenye Mahafari hajamkuta.

    Mwanaume mmoja nchini Kenya ameibua mjadala mitandaoni baada ya kudaiwa kujitolea kumlipia masomo na kumsaidia kifedha mpenzi wake kwa kipindi cha miaka minne katika Chuo Kikuu cha Karatina. Kwa mujibu wa simulizi hilo, mwanaume huyo alimsaidia mwanamke huyo tangu alipoanza masomo hadi...
  2. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  3. Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Aisee mimi ni mtu nilikuwa na hofu sana ya kufeli mtihani. Kwahiyo kuna wakati nikiwa kwenye mitihani mikubwa kama ya taifa na pindi nipo chuo kwenye UE, ilikuwa kama nikikutana na swali gumu basi nakuwa na hofu na mpaka inapelekea kubana mapaja sehemu moja na kujikuta napiga bao na kupata raha...
  4. Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  5. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  6. Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  7. M

    KERO Chuo cha CBE kimekataa kumsajili Mwanafunzi kisa hajalipa laki 8 huku mwisho wa kulipa ada ukiwa haujafika

    JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA? Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
  8. Songea: ujenzi wa chuo cha IAA wafikia 77%, wananchi watoa pongezi kwa rais samia

    Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
  9. A

    KERO Wazabuni tunaofanya kazi Chuo Kikuu Mlimani tunazungushwa malipo yetu kwa muda mrefu

    Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
  10. G

    Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    Habari wadau wa JF. Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
  11. J

    KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  12. A

    KERO Ameamua kuachana na Chuo cha Maji kisa ‘mateso’ ya Mhadhiri anayemsimamia ‘Dissertation’

    Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
  13. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  14. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  15. A

    KERO Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga na NACTVET mnaniharibia maisha yangu, matokeo ya 2018 hayapo kwenye mfumo

    Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada. Wanasema NACTVET hawajafungua...
  16. K

    Uchambuzi wa AI: Je, General Lucas Mwashambwa na Baraza la Mawaziri la Donald Trump walihitimu chuo kimoja cha Kimkakati?

    Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
  17. A

    KERO Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi

    Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) hali yake ni hatarishi zaidi katika maeneo ya hosteli za wanafunzi. Chuo cha ushirika moshi MoCU kilichopo mkoa wa Kilimanjaro kina hali mbaya hasa maeneo ya malazi ambayo wanafunzi wanakaa, pia hata sehemu ya vyoo na bafu hazina ubora na pia ni hatarishi kwa...
  18. A

    KERO Wanafunzi wa mwaka kwanza Iringa University tunatakiwa kulipa ada licha ya kupewa mkopo

    Wanafunzi wa mwaka wa kwanza tuliopata mikopo ya elimu ya juu tunatakiwa kulipa ada kwanza ili kukamilisha usajili, licha ya kuwa tayari tumedhaminiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Hali hii inatupa changamoto kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa familia zetu, na...
  19. Mliosoma Data Science hapo Chuo cha Takwimu, Masomo ya kozi hiyo yako vipi na lini na lini

    Mliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi
  20. U

    KERO Wanafunzi wa NIT tuliomaliza, tulitoa hela ya mafunzo ya udereva na leseni ila hakuna huduma tuliyopata

    Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…