Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa.
======...
kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo wanatarajia kuwa madaktari wa China watarudi tena.
Shughuli hiyo ya matibabu ilifanyika katika...
Mikutano Miwili mikubwa nchini China, ambayo ni Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) na Mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC), inatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi hapa Beijing katika Ukumbi wa Mikutano.
Mikutano hii imekuwa ikifuatiliwa sana na...
Katika muda wa miongo miwili iliyopita ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukibadilika na kugusa mambo mengi, badala ya ushirikiano kwenye mambo ya kisiasa tu, au ushirikiano wa upande mmoja (yaani upande wa China), kuusaidia upande mwingine (yaani upande wa Afrika), kama...
Wakati ushirikiano baina ya China na Afrika ukiendelea kuwa wa karibu zaidi, mipango mbalimbali ya kutokomeza umasikini na kuleta maendeleo kati ya pande zote mbili imeingia katika hatua mpya. Ni kutokana na mtazamo huu ndio maana Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC lilianzishwa...
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo.
Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya...
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua.
Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
Wiki hii rais Xi Jinping wa China ameandika bara ya pongezi kwa sherehe za uzinduzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichoko mjini Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. Chuo Kicho kilianzishwa na vyama sita vilivyoshiriki kwenye ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ambavyo ni Chama cha...
Katika harakati zangu za kutafuta maisha.
Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu.
Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni.
Alikuwa na acount Instagram Login •...
Mwenge wa Olimpiki umezimwa, na kufunga pazia kwenye Michezo ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, lakini shauku bado inaendelea kutoka kwenye tamasha la michezo ambalo limechangamsha na kuhamasisha dunia katika wakati huu wa janga la Corona.
Thomas Bach, Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu.
Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao
Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China katika Ikulu Ijumaa, alitaja maeneo mawili muhimu ya Uganda ambayo ni kutokomeza umaskini na kuhamisha...
Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara ya Forodha ya China, mwaka 2021 kiwango cha biashara kati ya China na Afrika kiliongezeka kwa 35% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, na kufikia dola za Kimarekani bilioni 254.3, kiasi ambacho kimezidi kile cha kabla ya kutokea kwa janga...
Giza lilipoingia nchini Ethiopia, jengo refu zaidi la Afrika Mashariki lilikuwa liking'ara, na matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yalikuwa yakionyeshwa kwenye ukuta wa pazia. Jengo hilo lenye urefu wa mita 209 ni makao makuu mapya ya Benki ya Biashara ya Ethiopia...
Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili.
Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...