Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v)
Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi kwanini sikufaulu anyway hayo sio yaliyo nileta.
Nimekuwa mpambanaji kwa kufanya kazi za ndani house...